Wachawi wa elimu yetu ni hawa

Wachawi wa elimu yetu ni hawa

acha dharau nenda Faculty of education siku hizi inaitwa college of education kaangalie wanafunzi walioanza 2000 walikwenda kusoma ualimu wakiwa na point ngapi??

halafu usiwe na akili fupi eti kama kuna mwenye point 9 sasa naomba Invisible aniruhusu nikuwekee vyeti vyangu vyote hapa.

kisha nakuomba kesho asbh nenda pale COET ulizA mwaka juzi na mwaka jana wanafunzi waliosoma uhandisi wanakwenda na minimum point ngapi ndipo uje ujambe upuuzii wako hapa.

halafu nenda College of business school kaangalie wanafunzi wanaosoma kule shahada wengi waliosoma ECA, na HGE wameingia na qualification gani kama utakuta div 1 zikiwa nyingi kama za wanafunzi waliosoma PCB na PCM. hivi umewah kumkuta lini mwanafunzi amesoma ECA akawa na div 1 ya point 3?? sasa kuliko kubwabwaja ujinga wako kaa chini ufikiri kwa makini.

kumbuka kwamba maslah madogo ya kazi yenyewe yamewafanya watu wasomee ualimu kisha wakimaliza waukimbie kama huamini chunguza graduates wa 2000-2006 nenda mashulen uwafanyie hesabu utawakuta ni 1/4 tu ndio wamebaki wengine wote wapo kwenye kazi tofauti na wamejiendeleza kwa maslah yao.

idadi ya graduates wa ualimu ni kubwa kuliko fani yyte ile ila kazini wapo wachache kuliko fani nyingine yyte umewah kujiuliza sababu?? na wamekwenda wapi??

Yaani ulivyonikera natamania kesho nikwambie uje ofcn kwangu nikuonyeshe kinachoua elimu ya taifa hili ili ubongo wako uwe na akili. nyambaffffffffffff
mwambie apitie mabwe nimpe na vyangu!ndo ajue
sio kukaa hapa na kupomoka pomoka tu!
 
mtaweweseka sana na matokeo ya kitihani ya taifa!nyie paruaaneni weeeeee lakini msidharau kazi za wenzenu!
mimi ni mwalimu
KIDATO CHA NNE NINA DIVISION 2
KIDATO CHA SITA NINA DIVISION 1.9
DEGREE NINA G.P.A YA 3.7
kwa taarifa yako yapo mengi sana yanapaswa kubadilishwa lakini mkibaki na imani kuwa walimu ndio chanzo tutazidi kuumia sana kama taifa! na serikali yenu ndo upopo inaowajaza huo kichwani!
nyie endeleeeni tu!

hakiya mama natamani kiukweli tuweke vyeti wazi hapa
form 4 nina div 1.10
form 6 nina 1.9
chuo GPA 3.8
masters nina GPA 4 na bado ni mwl na mtafiti.
sasa nyie pigeni keleleeeeeee sie twala salary nakamata kama AFISA ELIMU TGTS G na per diem yangu kwa siku nikitoka kibaha kwenda dar tu ni 80000/=
 
bhaelezee niko wapi saaa hii!
af bhaambie nakula kitu ya dolari ngapi!
waache na akili hizo hizo wanazojazwa kuwa walimu ndo lilipo zimwi la wanafunzi kufeli!
wafanye kwenda kwa prof kamera udsm ndo wapate kujua siri ya hii kiichwa imekaa hapa nyuma ya keyboard!
 
mutu ya mwl inakula madolari ya wadhungu huko kwa wamakonde.
usiku huu naomba nichukue fursa hii kumkaribisha Ng'wale kwenye. The 27th Annual scientific conference itakayofanyikia Snow Crest hotel Arusha mwezi April 16-19 2013.
uje uone nguvu ya mwl. wewe utakalia majungu tu.
 
Last edited by a moderator:

akimaliza hapo sept kuna language teachers summit fasi ya nairobi akuye kuona bhatu tunashusha nondo af ndo aone tunaenda kusoma education tukiwa vilaza au ni mfumo hauwezi kututumia!WATUWACHE!
 
Naanza kwa kuwapa pole sana wahanga wa matokeo ya kidato cha4.

Kuna sababu kibao zilizo sababisha watoto kufeli ila mimi binafsi ninasababu kuu mbili ambazo naamini zaidi ya 90% zimesababisha matokeo mabovu;

1. Uwajibikaji wa viongozi wa selika na utekelezaji wa sela ya elimu, hili naona ndio tatizo kubwa ambaro linafanywa makusudi kwakua tu watoto wa vigogo wote hawasomi shule za selikali, ili kupunguza upinzani katika ukanda wa ajira na uongozi kwa ujumla, hivyo viongozi kuendelea kufisadi pesa za elimu bila hata shaka kwa kuwa viongozi wote wajuu haiwagusi sana kwa kuwa familia zao husomea inje au st.

2. Maslahi ya walimu hili ni tatizo kubwa mno tunapiga kelele maabala, maktaba, wingi wa wanafunzi darasani, nk lakini hizi zote hazifikii maslahi ya walimu mfano tunapiga kelele maabala mbona watoto wamefeli hadi kiswahili au nacho kinahitaji maabara, Inasikitisha sana kusikia kiongozi wa selikali kusema haiwezekani kuongeza mshahara wa walimu!

Kama enzi za mwalimu walimu walilipwa pesa za kukidhi mahitaji yao vizuri kwa pesa za pamba, korosho na katani, iweje leo kuna pamba, katani, korosho, utalii unafanya vizuri, uvuvi, madini kibao yanachibwa, bandari iko vizuri, na kodi za bidhaa ambazo ziko juu sana kuliko wakati wowote wa miaka 50 ya uhuru, eti inashindikana kuongeza mshahala, kipato cha mwalimu sasa hivi hakina utofauti na muuza mchicha pale kariako, kweli inawezekana kufundisha vizuri mwalimu huku akiwa yeye ndie muuza karanga na mandazi shuleni, leo hii tunapiga kelele hakuna ukaguzi mashule je?

Kwa hiki kipato unaweza kumlimiti mwalimu ahudhurie shule kila siku badala ya kutafuta ridhiki sehemu nyingine sanasana atakwambia potelea mbali wakinifukuza nitafungua genge na hayo ndiyo yanayo wakuta walimu wakiomba ruhusa ya kwenda kusoma wakikataliwa tu wanatoroka kwa mantiki ya rorote liwe kwanza maslahi yenyewe madogo.

Suruhisho inabidi kwenye katiba tuweke kipengele kinacho piga marufuku mtoto wa kiongozi yeyote wa selikali lazima asome shule za selikali, hii itaongeza uwajibikaji kwani hawa ndio wachawi wa elimu yetu.

Ninaamini mtoto wa raisi akipata zero viongozi kibao watajiuzuri kwa hofu lakini leo hii matokeo ambayo yawezekana yamevunja record ya dunia hata kiongozi mmoja hajajiudhuru, hii ni kwa kuwa familia za watu wanao ogopwa zote ziko salama kwa hili tatizo.

Asanteni Mungu ibariki elimu yetu, Mungu ibaliki Tanzania

we husiy
 
we husiyejua matumizi ya "l" na "r" na uendelee kumshukuru huyo Mungu wako hukufanya mtihani wa kidato cha 4 mwaka huu. Maana tulikua tuna deal na watu kama ninyi.
 
akimaliza hapo sept kuna language teachers summit fasi ya nairobi akuye kuona bhatu tunashusha nondo af ndo aone tunaenda kusoma education tukiwa vilaza au ni mfumo hauwezi kututumia!WATUWACHE!

unajua snowhite nashangaa sana nchi hii, halafu mbaya zaid nawashangaa wana jf wenzangu ambao nao kuwaza kwao utafikiri sio ma GT's.

swala la elimu ya tanzania ni mtambuka na hapa kila sekta inahusika na mbaya zaid yale maeneo ambayo dio nyet kabisa hayaguswi kabisa kabisa.

hebu tuweni wawazi mashuleni kuna waalimu wangapi?? je wanagraduate ni wangapi?? kama waliopo mashulen ni wachache je wanaohitimu wanaenda wapi??

tatizo la kubwa zaid ya yote ni kwamba watoto wetu hawajitambui kabisa kabisa na wazazi wamewaacha watoto kama kondoo asokuwa na mchungi. wazazi kwa kutokujali wamekuwa nai sehemu ya sababu inayomfanya mtoto ajaze mambo mengi mabaya akilini badala ya kujaza elimu.

hivi uliza hapa wazazi wangapi ambao wamewapa watto wao u 18 simu za mikononi utaona, angalia wazazi wangapi ambao huwa hawaangalii ama ahawajui hata marafiki wa watoto ao ni akina nani. je kuna mzazi anaye monitor michezo ya watoto wake hapa jamvini? kweli kuna mtu ataweza kautoka kaifuambele kamba michezo anayocheza mwanae inamkuza kiakili??

tangu zamanai waalimu mashulen walikuwa ni wa tabu sana lkn je mbona wengi waliosoma zamani walifaulu?? mbona wanafunzi waliweza kujisomesha wennyewe bila hata mwl darasani na mwisho wa siku wakafaulu mtihani??

nakumbuka wakati nasoma form six sikuwa na mwl wa physics sasa wale ambao walibahatika kwenda tuition ndio waliokuwa wanatusadia kwa staili ya group discussions istoshe tulijituma kusoma vitab na kuelewa kuliko kumsubiri mwl. siku hizi je watoto wetu anafanya haya??
 
Last edited by a moderator:
Tangu nizaliwe sijashudia Tanzania ikiwa na njaa ya kiongozi kama ilivyo leo hii. Hadi inatia aibu. Raisi ameshindwa katika secta zote. Sheria hakuna, elimu sifuri, matibabu yai, miundombinu usiseme. Tunaenda wapi watanzania? Yaani hadi inatia huruma nchi haina waziri hata mmoja vilaza kibao utendaji sifuri kabisa. Yaani jamani tunapitwa na Waganda ambao walikuwa na vita za wenyewe kwa wenyewe miaka yote. Wameamka wanasomesha watoto wao sisi tunachekeana na vilaza wa kutupwa. Ni lini tutawawajibisha hawa wezi wasiojali taifa hata chembe kazi kukwapua tu raslimali zetu huku wakituacha tunaangamia?
tutaanza kuwajibishana siku ukijua kuandika Rais badala ya Raisi, Sufuri badala ya Sifuri. Nakutambua katika historia Unganda haikuwahi kuwa na vita ya makabila. Ndio nyie nyie akina "Mulugo type" na visingizio vya Projector.
 
unajua snowhite nashangaa sana nchi hii, halafu mbaya zaid nawashangaa wana jf wenzangu ambao nao kuwaza kwao utafikiri sio ma GT's.

swala la elimu ya tanzania ni mtambuka na hapa kila sekta inahusika na mbaya zaid yale maeneo ambayo dio nyet kabisa hayaguswi kabisa kabisa.

hebu tuweni wawazi mashuleni kuna waalimu wangapi?? je wanagraduate ni wangapi?? kama waliopo mashulen ni wachache je wanaohitimu wanaenda wapi??

tatizo la kubwa zaid ya yote ni kwamba watoto wetu hawajitambui kabisa kabisa na wazazi wamewaacha watoto kama kondoo asokuwa na mchungi. wazazi kwa kutokujali wamekuwa nai sehemu ya sababu inayomfanya mtoto ajaze mambo mengi mabaya akilini badala ya kujaza elimu.

hivi uliza hapa wazazi wangapi ambao wamewapa watto wao u 18 simu za mikononi utaona, angalia wazazi wangapi ambao huwa hawaangalii ama ahawajui hata marafiki wa watoto ao ni akina nani. je kuna mzazi anaye monitor michezo ya watoto wake hapa jamvini? kweli kuna mtu ataweza kautoka kaifuambele kamba michezo anayocheza mwanae inamkuza kiakili??

tangu zamanai waalimu mashulen walikuwa ni wa tabu sana lkn je mbona wengi waliosoma zamani walifaulu?? mbona wanafunzi waliweza kujisomesha wennyewe bila hata mwl darasani na mwisho wa siku wakafaulu mtihani??

nakumbuka wakati nasoma form six sikuwa na mwl wa physics sasa wale ambao walibahatika kwenda tuition ndio waliokuwa wanatusadia kwa staili ya group discussions istoshe tulijituma kusoma vitab na kuelewa kuliko kumsubiri mwl. siku hizi je watoto wetu anafanya haya??

kazi kubaki kuwawekea cable mia mia za network sebuleni kama mafundi mitambo wa redio
siku hizi mzazi akikaa na wanae anawapeleka mlimanicity kuangalia ben ten sijui makorokocho gani wakti huo ye anajaribu handbags za designers
siku hzi mzazi hakuna anayejua mwalimu nani ni nani na anafundisha nini!madai yao si kuna diaries?nani anajua kwenywe hizo diaries kunaandikwa nini?
siku hizi mtoto anayevaa vya kuachia mwili ndo anaenda na fashion na mama mtu unasupport kabisa!
siku hizi mtoto akiulizwa kidgo tu na mwalimu mzazzi yuko radhi aazime hata gari ili alete mtama kwa mwalimu
wakiitwa shuleni kila mzazi yuko busy
wangapi hapa tunajua miandiko ya watoto wetu?
ahahhahahhaha mnabaki kulia na mwalimu!mnafanya elimu kama kuhamisha matofali 100 KESHO YASIWEPO ENH!
wacha twende !tutafika mahali mkiamua kukaa chini na kukubali kuwa tumepotoka kama taifa ndo akili zitatukaa sawa!sa hhz bado!
mmesahau kuwa janga lingine ni hili lililofanya mtihani mwezi feb enh!
mwali nikumbushe liliingia na points ngapi form 5?
chek picha sasa !wazazi walichekelea sana watoto wao kupa na nafasi kidato cha tano!kumbe mnajazwa ujinga eti kiwango cha ufaulu kimeongzeka!
taifa kwi!kwi!kwi!
leo mnalia hapa!
tuliposema mnajenga majengo ya kufuga watoto miaka minne hakuna aliyeelewa!
leo mnapiga kelele?
tuliposema mitaala hailalisiki tulipuuzwa hapa!leo mnapiga kelele?
tuliposema vitabu vinapitishwa kwa kujuana ,hakuna aliyeona mwalimu ana maana leo mnapiga kelele ?
tuliposema watoto hawasomi tunaonekana wanoko
leo mnapiga kelele!KULENI KOBIS TUU!
na huuu ni mwanzo wa anguko!
 
Mi nadhani swala la maslahi ya walimu si muhim sana... Muhimu ni , maktaba, maabala nk... Na mi nadhani walim 2sipige kelele sana kuhusu maslahi yetu... Sisi ni wataalam bwana, hebu natujivunie utaalam wetu. Sikuzote mtaalam hasemi sana ili kueleweka. Sikwamba serikali haijui umuhimu na utaalam 2lionao. Si kwamba hawajui kuwa tunauwezo wa kulijenga Taifa na kuliua Taifa. Si kama hawana akiri, wanazo sana naninyingi sana ila wanajifanya wamevia akiri. Walim bado tunaweza kutengeneza 60% ya walio pata daraja 0 kuwa 80% yawatakaopata daraja 0 2013/2014 bado inawezekana kusema kwa vitendo nasi maneno. Hebu semeni tunaweza.
Jiulizeni maswali haya
1. Nikweli hatuna thamani?
2. Kwanini tunaonewa?
3. Nikweli sisi niwale tulio feli?
4. Kwanini nesi alipwe mshahara mzuri kwanini siyo mimi?
Baada ya kujiuliza maswali haya jiulize Je, taifa hili na raslimali zake kapewa nani? Baada ya hayo.
MWL: JIUNGE KWENYE TAASISI IITWAYO "FAKAMA" ambayo ni FANYA KAZI KULINGANA NA MASLAHI. Mwalimu ondoa dhana ya kusema ualimu ni wito, mwl tetea maslahi yako kwa gharama zozote, tambua wewe unathamani zaidi ya docta zaidi ya injinia, zaidi ya mbunge. Salam kwa walimu wote Tz
 
kazi kubaki kuwawekea cable mia mia za network sebuleni kama mafundi mitambo wa redio
siku hizi mzazi akikaa na wanae anawapeleka mlimanicity kuangalia ben ten sijui makorokocho gani wakti huo ye anajaribu handbags za designers
siku hzi mzazi hakuna anayejua mwalimu nani ni nani na anafundisha nini!madai yao si kuna diaries?nani anajua kwenywe hizo diaries kunaandikwa nini?
siku hizi mtoto anayevaa vya kuachia mwili ndo anaenda na fashion na mama mtu unasupport kabisa!
siku hizi mtoto akiulizwa kidgo tu na mwalimu mzazzi yuko radhi aazime hata gari ili alete mtama kwa mwalimu
wakiitwa shuleni kila mzazi yuko busy
wangapi hapa tunajua miandiko ya watoto wetu?
ahahhahahhaha mnabaki kulia na mwalimu!mnafanya elimu kama kuhamisha matofali 100 KESHO YASIWEPO ENH!
wacha twende !tutafika mahali mkiamua kukaa chini na kukubali kuwa tumepotoka kama taifa ndo akili zitatukaa sawa!sa hhz bado!
mmesahau kuwa janga lingine ni hili lililofanya mtihani mwezi feb enh!
mwali nikumbushe liliingia na points ngapi form 5?
chek picha sasa !wazazi walichekelea sana watoto wao kupa na nafasi kidato cha tano!kumbe mnajazwa ujinga eti kiwango cha ufaulu kimeongzeka!
taifa kwi!kwi!kwi!
leo mnalia hapa!
tuliposema mnajenga majengo ya kufuga watoto miaka minne hakuna aliyeelewa!
leo mnapiga kelele?
tuliposema mitaala hailalisiki tulipuuzwa hapa!leo mnapiga kelele?
tuliposema vitabu vinapitishwa kwa kujuana ,hakuna aliyeona mwalimu ana maana leo mnapiga kelele ?
tuliposema watoto hawasomi tunaonekana wanoko
leo mnapiga kelele!KULENI KOBIS TUU!
na huuu ni mwanzo wa anguko!

mwali leo silali hadi kieleweke hapa na wazazi wa humu jf.

hivi wangapi hapa huwa wanachukua ripot fomu za watoto wao??
wangapi hapa wanafunza watoto wao kuwa raia wema?

watoto wameachwa kujilea, hakuna anayejali amaamka saa ngapi ana nidhamu ama hana anakwenda shule ama haendi.

tuliposhauri shule za bweni ziachwe ili wanafunzi wasome kwa exposure tulidharaulika tukaonekana kana kwamba tunataka madili ya hela kwa kuwa na shule za bweni. wakasahahu kwamba ilikuwa ni njia ya kupanua akili ya mwananfunzi kwa kwenda mazingia mageni na kukutana na jamii mpya.

tuliposema mitaala imerahisishwa sana, haimfunzi mtu kuwa na uwezo wa kupambanua mambo tulionekana kwamba tunataka hela za clubs na miradi ya shule. kutukomesha wakasema mwanafunzi aje shule na kusoma tu.

tuliposema majukwaa ya elimu juu ya uraia yanaharibu watoto hatukusikilizwa, tukaambiwa wanoko. tunaona raha kauchapa na kutumikisha watoto tukaambiwa kuna haki za watoto. siku hizi mtoto hata umkute kavaamlegezo ukimgusa tu unaambiwa umemdhalilisha, darasani asipoandika huruhusiwi kumwadhibu kisa yeye sio ng'ombe.

tuliposema watoto wanafanywa waasiasa tukaoneana wanoko tukakaaa kimya ikabaki wiki mbili nzima watoto wanafanya practice ya kushiriki vipindi vya malubano ya hoja, jukwaa la wanafunzi nk badala ya kusoma. watoto wakapewa uhuru hadi wakuwa na vyama vyao vya kitaifa mwenyekiti kila kukicha yuko nje ya shule eti ni muhamasishaji wakasahahu kwamba siasa sio kazi na kwamba mtihani haumpimi mtu kwa kushiriki kwenye majukwaa ya kisiasa.

tuliposema day schools ni tatizo hatukuskilizwa kabisaaaaaaaaaaa haya sasa mtoto anakaa magomeni anasoma shule ya sekondari msumwi kila siku anafika shule saa 5 anafika home saa 2 usiku. eti anasoma

mbaya zaid hakna mzazi anayemfuatilia kama kweli kafika shule ama la. wakasahau kwamba mm kama mwl mtoto wako nawajibika nae pale anapoingia ndani yageti la shule na ninakaa nae masaa 8 tu tena ya mchana na hapo ni robo tu ya siku nzima robo tatu yote yuko kwa mzazi so bado mzazi anawajibika zaid kwa mtoto wake kuliko mm mwl.

waache waendelee kumtafuta mchawi ila mchawi ni wao wenyewe.
 
tutaanza kuwajibishana siku ukijua kuandika Rais badala ya Raisi, Sufuri badala ya Sifuri. Nakutambua katika historia Unganda haikuwahi kuwa na vita ya makabila. Ndio nyie nyie akina "Mulugo type" na visingizio vya Projector.

waache wateme pumba wasijue mchawi wa elimu ya watoto wao ni wao wenyewe.

wajiulize zamani miaka ya 2000 kurudi chini kwanini wanafunzi walikuwa wanafaulu zaid regadless ya low payments waalimu walizokuwa wanapewa??

hapa watajua kwamba wanafunzi walikuwa wanajitambua zaid, walijua wanatakiwa kufanya nini.
ngoja nikwambie kufaulu kwa mtoto ni 100%
KATIKA HIYO -mwl nachangia 20% tu nafasi ambayo hata nikiicheza nikiwa uchi bado ni F grade mpo hapo??
-mzazi anachangia 20% tu nafasi ambayo akichanganya na mwl mwanafunzi anapata daraja D.
-mwanafunzi anachangia 60% nafasi ambayo akiicheza vyema inamleta kweye daraja C, ambalo ni kufaulu.

mwl kazi yake ni kumwelekeza tu hata notsi sitakiwi kumpatia mwanafuni wangu, mzazi anatakiwa ampatie mahitaj muhimu pamoja na malezi bora. mwanafunzi anatakiwa ajitambue na awe na utayari wa kusoma tu. na hapa ndipo penye tabu,. watoto wetu hawana utayari kabisa.
 
mwali leo silali hadi kieleweke hapa na wazazi wa humu jf.

hivi wangapi hapa huwa wanachukua ripot fomu za watoto wao??
wangapi hapa wanafunza watoto wao kuwa raia wema?

watoto wameachwa kujilea, hakuna anayejali amaamka saa ngapi ana nidhamu ama hana anakwenda shule ama haendi.

tuliposhauri shule za bweni ziachwe ili wanafunzi wasome kwa exposure tulidharaulika tukaonekana kana kwamba tunataka madili ya hela kwa kuwa na shule za bweni. wakasahahu kwamba ilikuwa ni njia ya kupanua akili ya mwananfunzi kwa kwenda mazingia mageni na kukutana na jamii mpya.

tuliposema mitaala imerahisishwa sana, haimfunzi mtu kuwa na uwezo wa kupambanua mambo tulionekana kwamba tunataka hela za clubs na miradi ya shule. kutukomesha wakasema mwanafunzi aje shule na kusoma tu.

tuliposema majukwaa ya elimu juu ya uraia yanaharibu watoto hatukusikilizwa, tukaambiwa wanoko. tunaona raha kauchapa na kutumikisha watoto tukaambiwa kuna haki za watoto. siku hizi mtoto hata umkute kavaamlegezo ukimgusa tu unaambiwa umemdhalilisha, darasani asipoandika huruhusiwi kumwadhibu kisa yeye sio ng'ombe.

tuliposema watoto wanafanywa waasiasa tukaoneana wanoko tukakaaa kimya ikabaki wiki mbili nzima watoto wanafanya practice ya kushiriki vipindi vya malubano ya hoja, jukwaa la wanafunzi nk badala ya kusoma. watoto wakapewa uhuru hadi wakuwa na vyama vyao vya kitaifa mwenyekiti kila kukicha yuko nje ya shule eti ni muhamasishaji wakasahahu kwamba siasa sio kazi na kwamba mtihani haumpimi mtu kwa kushiriki kwenye majukwaa ya kisiasa.

tuliposema day schools ni tatizo hatukuskilizwa kabisaaaaaaaaaaa haya sasa mtoto anakaa magomeni anasoma shule ya sekondari msumwi kila siku anafika shule saa 5 anafika home saa 2 usiku. eti anasoma

mbaya zaid hakna mzazi anayemfuatilia kama kweli kafika shule ama la. wakasahau kwamba mm kama mwl mtoto wako nawajibika nae pale anapoingia ndani yageti la shule na ninakaa nae masaa 8 tu tena ya mchana na hapo ni robo tu ya siku nzima robo tatu yote yuko kwa mzazi so bado mzazi anawajibika zaid kwa mtoto wake kuliko mm mwl.

waache waendelee kumtafuta mchawi ila mchawi ni wao wenyewe.
ahahahhahahha ngoja tu nicheke!
mwaka juzi nilimchapa head girl wa shuleni kwangu
alikuwa anachelewa sana shule!nikamwambia ukiwa kiongozi unapaswa kuwa mfano!nikatandika fimbo zangu uzuri tu !
unajua walifanya nini!
waliiitisha kikao kama serikali ya wanafunzi wakiongozwa na head boy
wakagonga kengele wanafunzi wote wakkusanyika
head boy akasimama na KATIBA!KATIBA mwali KATIBA hiii hii ya warioba na tume yake!
mtoto anatusomea vifungu kwa mujibu wa ibara ya ngapi sijui nini nini!
ahahahhahahhha nilicheka sana !wakati mwingine vicheko vyangu huwa sielewi vinatoka wapi!
mtoto anataka maelezo kwanini headgirl amechapwa!kwa ibara ipi inayonipa mamlaka kumchapa!
nilitaka kuchukua fimbo kumtandika na head boy!nikasema ngoja nine mwisho wake!
aliitwa mzazi anafika pale na yeye anasema huwa nyumbani kwao wana hasira sana na mwanae ni mpigania haki!
NILIMWAMBIA LABDA MIMI SIIITWI fulani huyu mtoto hesabu sifuri!
na ilikuwa hivyo!
hiyo ni picha ndogo tu iliyopo mashuleni if at all wazazi kweli wanataka kujua!
na niwaambie tu!
laana hii ya dharau kwa walimu isipoondoka toka miyoni mwetu hali hii ni utambulisho tuuu!
 
hebu acha upotoshaji wa wazi kabisa tena acha dharau kwenye fani za wenzio.
labda nikuulize nini qualification za mtu kujiunga chuo?? na je wataka kuniambia hakuna wanafunzi waliopata div 1 wakasomea ualimu?? na je mwanafunzi anayesoma ftc cheti huyu ana division gani??

kimsingi elimu kama ilivyo fani nyingine imegawanyika katika makund ya cheti, dip na shahada. katika ngaziz zote hizo huwa kuna qualification tofauti mathalan anayesomea cheti elimu yake inatakiwa iwe ni form 4 ila anayesomea shahada awe ana elimu ya form six na ufaulu kulingana na viwango ambavyo vhuo na TCU imekubaliana.

kuwepo kwa waalimu mathalan wanao kuwa na alama za chini na mfano point 5 akakubaliwa kusomea ualimu hii ni kutokana na kutaka kuoneza idadi ya watumish waalimu na si kwasababu eti wamefeli.

mwaka huu wa masomo wanafunzi waliojiunga kusoma uhandisi hapa mlimani ukiuliza ama kutafuta wenye div 1 za form six ni wachache sana na wengi wana div 3. wengi wa waliopata div 1 wamekimbilia kusomea bcom kwa kipengele kwamba ni fani inayolipa mapema zaid na unasoma ukila bata. kutokana na hili baraza la senete la chuo walidiriki hata kushusha point alimradi wapatikane wanafunzi watakao somea uhandisi. kwangu mimi hii haina tofauti na ilivyofanyika kwenye elimu.

sio kweli kwamba mwl mwenye degree ana div 4, na hata mwenye diploma sio kwamba anaufaulu mdogo zaidi kuliko daktari ama mwanafunzi wa fani nyingine.

Ndio matatizo ya kurusha mawe gizani, narudia tena haikua nia yangu kueleweka hivyo lakini naamini wote waliokwazwa na maelezo yangu kwa upande mmoja hao hao wanaungana nami kwa upande wa pili kwamba huo ndio ukweli wenyewe. Mfano gfsonwin kama wewe ni mwalimu, nina uhakika haikua target yako kusoma BSc Ed au BA Ed (ilikua chaguo lako la kwanza???) lakini maadamu tayari uko huko lazima upende tu. Sijui watoto wako kama utapenda Education iwe ndio chaguo lao la kwanza???.

Katika hali ya kawaida ili uwe na furaha na jambo ulilonalo, unatakiwa kulipenda (hata kama kupenda huko ni kwa kulazimisha - hapo nimewapa salute). Najua wapo wenye wito wa ualimu toka wakiwa watoto, lakini wengine sivyo maana utasikia ''AJITAHIDI ANGALAU APATE HATA UALIMU TU'' huu usemi una maana hata kama atafeli lakini asije feli sana akakosa hata UALIMU.
 
................................halafu usiwe na akili fupi eti kama kuna mwenye point 9 sasa naomba Invisible aniruhusu nikuwekee vyeti vyangu vyote hapa. .............................

kisha nakuomba kesho asbh nenda pale COET ulizA mwaka juzi na mwaka jana wanafunzi waliosoma uhandisi wanakwenda na minimum point ngapi ndipo uje ujambe upuuzii wako hapa.

Yaani ulivyonikera natamania kesho nikwambie uje ofcn kwangu nikuonyeshe kinachoua elimu ya taifa hili ili ubongo wako uwe na akili. nyambaffffffffffff

Una hoja nzuri sana mwalimu, lakini punguza ukali na lugha ambazo zinaweza kukupunguzia heshima pia lugha za fb (ofcn) kwa mwalimu uliye makini hazikufai. Pole kwa kukerwa na usipate shida naweza siku moja nikakutembelea hapo ofisini kwako tubadilishane mawazo, upo ofisi gani mama?
 
kazi kubaki kuwawekea cable mia mia za network sebuleni kama mafundi mitambo wa redio
siku hizi mzazi akikaa na wanae anawapeleka mlimanicity kuangalia ben ten sijui makorokocho gani wakti huo ye anajaribu handbags za designers
siku hzi mzazi hakuna anayejua mwalimu nani ni nani na anafundisha nini!madai yao si kuna diaries?nani anajua kwenywe hizo diaries kunaandikwa nini?
siku hizi mtoto anayevaa vya kuachia mwili ndo anaenda na fashion na mama mtu unasupport kabisa!
siku hizi mtoto akiulizwa kidgo tu na mwalimu mzazzi yuko radhi aazime hata gari ili alete mtama kwa mwalimu
wakiitwa shuleni kila mzazi yuko busy
wangapi hapa tunajua miandiko ya watoto wetu?
ahahhahahhaha mnabaki kulia na mwalimu!mnafanya elimu kama kuhamisha matofali 100 KESHO YASIWEPO ENH!
wacha twende !tutafika mahali mkiamua kukaa chini na kukubali kuwa tumepotoka kama taifa ndo akili zitatukaa sawa!sa hhz bado!
mmesahau kuwa janga lingine ni hili lililofanya mtihani mwezi feb enh!
mwali nikumbushe liliingia na points ngapi form 5?
chek picha sasa !wazazi walichekelea sana watoto wao kupa na nafasi kidato cha tano!kumbe mnajazwa ujinga eti kiwango cha ufaulu kimeongzeka!
taifa kwi!kwi!kwi!
leo mnalia hapa!
tuliposema mnajenga majengo ya kufuga watoto miaka minne hakuna aliyeelewa!
leo mnapiga kelele?
tuliposema mitaala hailalisiki tulipuuzwa hapa!leo mnapiga kelele?
tuliposema vitabu vinapitishwa kwa kujuana ,hakuna aliyeona mwalimu ana maana leo mnapiga kelele ?
tuliposema watoto hawasomi tunaonekana wanoko
leo mnapiga kelele!KULENI KOBIS TUU!
na huuu ni mwanzo wa anguko!

Kamati ya Pinda ingekuhusisha ingepata mengi ambayo yangekua ni suluhisho la anguko la elimu yetu.
 
Ndio matatizo ya kurusha mawe gizani, narudia tena haikua nia yangu kueleweka hivyo lakini naamini wote waliokwazwa na maelezo yangu kwa upande mmoja hao hao wanaungana nami kwa upande wa pili kwamba huo ndio ukweli wenyewe. Mfano gfsonwin kama wewe ni mwalimu, nina uhakika haikua target yako kusoma BSc Ed au BA Ed (ilikua chaguo lako la kwanza???) lakini maadamu tayari uko huko lazima upende tu. Sijui watoto wako kama utapenda Education iwe ndio chaguo lao la kwanza???.

Katika hali ya kawaida ili uwe na furaha na jambo ulilonalo, unatakiwa kulipenda (hata kama kupenda huko ni kwa kulazimisha - hapo nimewapa salute). Najua wapo wenye wito wa ualimu toka wakiwa watoto, lakini wengine sivyo maana utasikia ''AJITAHIDI ANGALAU APATE HATA UALIMU TU'' huu usemi una maana hata kama atafeli lakini asije feli sana akakosa hata UALIMU.

mimi nilisoma Bsc ed kwasababu niliupenda ualimu kuliko dentistry niliyoomba na nikaipata.
 
Back
Top Bottom