Wachawi wa Utopolo wameshaanza kutupangia kikosi

Wachawi wa Utopolo wameshaanza kutupangia kikosi

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Yaani huyu mchambuzi maandazi anapanga na kumuacha Luiz,akidhani huu ujinga wake benchi la ufundi litauchukua ila Yanga wapate nafuu!

Kwa taarifa yenu Luiz ni lazima aanze,labda kama anaumwa.Asipoanza na tukafungwa hiyo kocha ajue ana wakati mgumu sana hapo Simba
Screenshot_20200307-234740.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani katika kikosi ambacho hua sikielewi ni kikosi ambacho ndani yake yuko shibob
 
Yaani huyu mchambuzi maandazi anapanga na kumuacha Luiz,akidhani huu ujinga wake benchi la ufundi litauchukua ila Yanga wapate nafuu!

Kwa taarifa yenu Luiz ni lazima aanze,labda kama anaumwa.Asipoanza na tukafungwa hiyo kocha ajue ana wakati mgumu sana hapo SimbaView attachment 1380294

Sent using Jamii Forums mobile app
Japo ni mwanasimba mwenzangu umenishangaza sana kushupalia kikosi alichopanga mtu kwa mtazamo wake na kufanya ni mada ya kuanzisha thread na lawama kama malalamiko fc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom