kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Japo ni mwanasimba mwenzangu umenishangaza sana kushupalia kikosi alichopanga mtu kwa mtazamo wake na kufanya ni mada ya kuanzisha thread na lawama kama malalamiko fcYaani huyu mchambuzi maandazi anapanga na kumuacha Luiz,akidhani huu ujinga wake benchi la ufundi litauchukua ila Yanga wapate nafuu!
Kwa taarifa yenu Luiz ni lazima aanze,labda kama anaumwa.Asipoanza na tukafungwa hiyo kocha ajue ana wakati mgumu sana hapo SimbaView attachment 1380294
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamuzi wa bao la mkonoSimba ata ingepanga vip kikosi Chao kama Itasahau kumjumuisha mwamuzi itafungwa bilashaka yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Du mkuu ulichungulia nnSimba ata ingepanga vip kikosi Chao kama Itasahau kumjumuisha mwamuzi itafungwa bilashaka yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app