Wachawi walivyozichapa gulion kichawi chawi ilikuwa ni soo mazee

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu

Ilikuwa ni siku ya mnada jumamos huko sima sengelema mwanza tanzania

Mchezo ulianza kama utan lakin ilikuwa ni noma sana aisee

Wachawi walikoromeana nan mkali kati ya mwenzake

Mmoja alikuwa akiitwa tondogoso na mwingine alikuwa anaitwa idako lako.

Ebhana ee twende pamoja mazee

Idako lako ndo alianza vag baad ya kujigeuza kichuguu lakin kwa ushenz wa tondogoso yeye aligeuza kile kichuguu na kuwa mto, hivo idako lako alipigwa bao hatar sana

Mchezo ukaendelea baada ya tondogoso kusimamisha jua lakin kwa ushenz wa idako lako yeye mda huo alileta mvua na kuanza kunyesha upande mmoja wa mnada wakati upande mwingine ikiwa hainyeshi

Watu walipiga mayowe ile hatar wakisema idako idako lakin tondogoso aliamua kuleta giza na pakawa usiku

Ilikuwa ni noma sana

Ngoja niishie hapa kwa leo kesho nitakuja kumalizia

LONDON BABY
 
Jana ukupigwa machine baada ya kufumaniwa?
 
Nimekaa mwanza muda kidogo hilo jina la huyo mchawi wa kwanza..idako lako,maana yake si makalio yako! I stand to be corrected!
 
Mi story zako zote sikuelewi[emoji23]
Mkuu unajua mimi nimekulia kijijin kwa bibi yangu ambaye alikuwa ni mchawi sana

Mimi nimesafir sana kwa fisi mkuu tafuta humu kuna uzi wangu jisi nilivyosafir kwa fisi kutoka simiyu had tanga kwa masaa 7
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi nakuogopa. Kwahiyo na ww mchawi sio?
 
Umeanza kutumia cokein badala ya bangi kumbe!
 
Nimekaa mwanza muda kidogo hilo jina la huyo mchawi wa kwanza..idako lako,maana yake si makalio yako! I stand to be corrected!
Sio kweli mkuu umeingia chaka aisee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi nakuogopa. Kwahiyo na ww mchawi sio?
Hapana mimi siyo mchawi kwa sasa nilitubu na kuanza kisali sana

Lakin dada yetu mkubwa ndo aliachiwa uchawi wote mimi mtu yeyote akinizingua huwa nafata dawa kwa dada namnyosha
 
Hapana mimi siyo mchawi kwa sasa nilitubu na kuanza kisali sana

Lakin dada yetu mkubwa ndo aliachiwa uchawi wote mimi mtu yeyote akinizingua huwa nafata dawa kwa dada namnyosha
Hahahaaa basi kumbe hujaacha ila ni mtu tu kakushikia kama ukikosewa tu unafuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…