Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo uchawi wenyewe huo mkuuHapana nimeacha lakin huwa nafata kama mtu akinizulumu au kama mtu akinionea na huwa nafata kulinda biashara zangu na wachawi
Poa...ila wasiliana na Mshana Jr kwanza lasivo utaumiaKuna siku nitaleta somo namna ya kumuona mchawi kirahis
Ukiijua njia hiyo ni simple sana mzaz
Hahahaaa sawa,ngoja wanichokoze nikuleteeKama akitokea mhun yeyote akaleta za kuleta wewe nambie tu
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Ilikuwa ni siku ya mnada jumamos huko sima sengelema mwanza tanzania
Mchezo ulianza kama utan lakin ilikuwa ni noma sana aisee
Wachawi walikoromeana nan mkali kati ya mwenzake
Mmoja alikuwa akiitwa tondogoso na mwingine alikuwa anaitwa idako lako.
Ebhana ee twende pamoja mazee
Idako lako ndo alianza vag baad ya kujigeuza kichuguu lakin kwa ushenz wa tondogoso yeye aligeuza kile kichuguu na kuwa mto, hivo idako lako alipigwa bao hatar sana
Mchezo ukaendelea baada ya tondogoso kusimamisha jua lakin kwa ushenz wa idako lako yeye mda huo alileta mvua na kuanza kunyesha upande mmoja wa mnada wakati upande mwingine ikiwa hainyeshi
Watu walipiga mayowe ile hatar wakisema idako idako lakin tondogoso aliamua kuleta giza na pakawa usiku
Ilikuwa ni noma sana
Ngoja niishie hapa kwa leo kesho nitakuja kumalizia
LONDON BABY
nakuunga mkonoNimekaa mwanza muda kidogo hilo jina la huyo mchawi wa kwanza..idako lako,maana yake si makalio yako! I stand to be corrected!