Wachawi walivyozichapa gulion kichawi chawi ilikuwa ni soo mazee

Wachawi walivyozichapa gulion kichawi chawi ilikuwa ni soo mazee

Hahahaaa basi kumbe hujaacha ila ni mtu tu kakushikia kama ukikosewa tu unafuata
Hapana nimeacha lakin huwa nafata kama mtu akinizulumu au kama mtu akinionea na huwa nafata kulinda biashara zangu na wachawi
 
Alafu umekariri: kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, hahaaa wewe kweli simiyu moja.
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu


Ilikuwa ni siku ya mnada jumamos huko sima sengelema mwanza tanzania


Mchezo ulianza kama utan lakin ilikuwa ni noma sana aisee

Wachawi walikoromeana nan mkali kati ya mwenzake

Mmoja alikuwa akiitwa tondogoso na mwingine alikuwa anaitwa idako lako.


Ebhana ee twende pamoja mazee

Idako lako ndo alianza vag baad ya kujigeuza kichuguu lakin kwa ushenz wa tondogoso yeye aligeuza kile kichuguu na kuwa mto, hivo idako lako alipigwa bao hatar sana

Mchezo ukaendelea baada ya tondogoso kusimamisha jua lakin kwa ushenz wa idako lako yeye mda huo alileta mvua na kuanza kunyesha upande mmoja wa mnada wakati upande mwingine ikiwa hainyeshi


Watu walipiga mayowe ile hatar wakisema idako idako lakin tondogoso aliamua kuleta giza na pakawa usiku


Ilikuwa ni noma sana

Ngoja niishie hapa kwa leo kesho nitakuja kumalizia


LONDON BABY

umevumilia angalau wiki moja bila ya stori zako za majini au wewe ni mganga?
 
Back
Top Bottom