Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Hapa nitataja makusudi au Mchekeshaji mmoja mmoja
1. Carpoza na Oka Martin
Hawa ni Wachekeshaji wanao tisha kwa sasa na tuseme tu ndio namba moja kwasasa. Hawa jamaa kwa sasa wamekuja na kaulimbiu au aina ya MZEE MWENZANGU. Huko Instagram wanakiwasha ile balaa
2. Mau Fudi
Huyu jamaa yuko vizuri sana toka kitambo na amekua na muendelezo mzuri na hashuki katika kiwango chake.
Kwa sasa ni hao tu na labda kwa kuongeza Kuna vikundi ambavyo vimekuja juu na kupotea kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuvunjika kwa mahusiano na menejimenti zao.
Sababu nyingine ni kukosea kupangilia namna ya kuuteka umaarufu bila kuchokwa, mfano jamaa wa "Pambana ya hela yote" beneficial na mwenzake, hawa jamaa wamepotea baada ya kutumia style yao vibaya kwa fujo na kufanya wachokwe.
Unaweza ongeza au kupanga list yako mdau.