Wachekeshaji wakali Tanzania kwa sasa

Wachekeshaji wakali Tanzania kwa sasa

Mnazungumzia wachekeshaji wa Instagram wanafanya short clips. Hakuna wachekeshaji pale. Tutaje hapo wanaoweza wakafanya one man stand off comedy, ni Mpoki tu kwa sasa. Na kwenye screen/TV ni Joti. Hao wachekeshaji wa Instagram bado sana
Wapo sema hufuatilii...Cheka tu na bongo stand up comedy kuna watu wanajua sana.Mpoki sio mchekeshaji ni mlopokaji tu...

 
Joti.
Tiny white.
Mpoki.
Kipupwe.
Oka.
Kuna yule wa serious funny.
MP msigwa
 
Tupo nyuma sana kuna vijana huko Kenya wanawasha moto wa hatari
 
Back
Top Bottom