Wachekeshaji wakali Tanzania kwa sasa

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
612
Reaction score
1,698
Hapa nitataja makusudi au Mchekeshaji mmoja mmoja

1. Carpoza na Oka Martin
Hawa ni Wachekeshaji wanao tisha kwa sasa na tuseme tu ndio namba moja kwasasa. Hawa jamaa kwa sasa wamekuja na kaulimbiu au aina ya MZEE MWENZANGU. Huko Instagram wanakiwasha ile balaa

2. Mau Fudi
Huyu jamaa yuko vizuri sana toka kitambo na amekua na muendelezo mzuri na hashuki katika kiwango chake.

Kwa sasa ni hao tu na labda kwa kuongeza Kuna vikundi ambavyo vimekuja juu na kupotea kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuvunjika kwa mahusiano na menejimenti zao.

Sababu nyingine ni kukosea kupangilia namna ya kuuteka umaarufu bila kuchokwa, mfano jamaa wa "Pambana ya hela yote" beneficial na mwenzake, hawa jamaa wamepotea baada ya kutumia style yao vibaya kwa fujo na kufanya wachokwe.

Unaweza ongeza au kupanga list yako mdau.
 
Hapa nitataja makusdi au Comedian mmoja mmoja
1. Carpoza& Oka Martin- Hawa ni Comedian wanao tisha kwa sasa na tuseme tu ndio namba moja kwasasa. Hawa jamaa kwa sasa wamekuja na Slogan au style ya MZEE MWENZANGU. Huko Instagram wanakiwasha ile balaa
2.Mau Fudi- Huyu jamaa yuko vizuri sana toka kitambo na amekua na muendelezo mzuri na hashuki katika kiwango chake.
Kwa sasa ni hao tu na labda kwa kuongeza Kuna vikundi ambavyo vimekuja juu na kupotea kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuvunjika kwa mahusiano na menejimenti zao. Sababu nyingine ni kukosea kupangilia namna ya kuuteka umaarufu bila kuchokwa, mfano jamaa wa "Pambana ya hela yote" beneficial na mwenzake, hawa jamaa wamepotea baada ya kutumia style yao vibaya kwa fujo na kufanya wachokwe.
Unaweza ongeza au kupanga list yako mdau.
 
Kuna dada anasema, "Sasa mbona" yule dada hawezi uigizaji kabisa, mwambieni atafute fani nyingine.
 
1) idris sultan
2)jay mond
3) mr Beneficial
4)mkali wenu
5)Tin white
6)dullavan
7)Bwana mjeshi




Hao ndio top comedian tz hao wako umewatoa wapi?
Mkuu,hapo comedian ni huyo niliyemtofautisha na wenzake tu wengine wote wanaunganisha video wakifanya vitimbi tu.

Pengine kila mtu ana aina yake ya kuchekeshwa,wengine wanachekeshwa na mtu kutumbua macho sana au kujipaka majivu usoni au mkaa.

Ila katika list yako hiyo ukimtoa Tin, waliobaki hakuna wachekeshaji hapo, kuna wafanya vituko.
 
Jamani Hawa jamaa @officialcarpoza na oka_martin hebu jaribuni kwanza kuwacheki kisha tuendelee maana wana vituko sana huko insata. Ingawa sijui kama wata endelea vema ila kwa sasa wako juu.
Joti, brother K sawa, Ila Mpoki hamna kitu yaani kila siku style ileile. Idris ndo zero kabisa analazimisha fani. Tin White na Ringo wako poa hasa kwenye filamu. Ila MZEE MWENZANGU wametisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…