Deogratius
Mtoto wa mama mboya.Deogratius wa Cheka.Tu
My favourite ni Agrey Mwanri pekee.. hata kama anaongea points lazima niumie mbavu
YesDeogratius wa Cheka.Tu
idris is way very complicated. Kumuelewa ni kazi ila rahisi sana. Atakufurahisha tu siku moja.List yangu
1.Oka martin & Official Carpoza,
Nafkr elimu imewasaidia Sana, wapo advanced Sana
2. Joti
3.Brother K
Huyu Mwamba ni nouma sema Tu Hana exposure ( kule YouTube nafkr ndo anafanya vzur ) insta Hana page ya commedy
4.Mr Beneficial & Bwana mjeshi
5.Jay mond
6.Anko zumo and Mai zumo
Wengine ni Dullvan, Chesco msafi, Dogo sele, claim tz, Steve mweusi, mkali wenu nk
Maufundi, Idris sultan na Yule Dada anayeongea kihaya siwakubali hata kdogo
Idris kwakweli hana kiwango na si mbunifu.... mi nawaelewaga jamaa wa bongo stand up comedy japo si maarufu ila wanaweza kuliko hata cheka tuidris is way very complicated. Kumuelewa ni kazi ila rahisi sana. Atakufurahisha tu siku moja.
sio paaaapi hhahahaaNamuelewaga zaidi huyu jamaa
Bongo kuna watu wako vizuri sema ndo wanaibukia bado hawajawa na majina makubwa....Wakipata majina wababaishaji wote chali...kuna dogo mmoja nilimuonaga arusha pia ni shida sanasio paaaapi hhahahaa
System imem-favor idris ila on the other hand anajua pia. Asingeitwa Central Comedy kama angekua mbabaishaji.Idris kwakweli hana kiwango na si mbunifu.... mi nawaelewaga jamaa wa bongo stand up comedy japo si maarufu ila wanaweza kuliko hata cheka tu
Umeandika vizuri sana mkuu hapa hata kutia neno siwezi.System imem-favor idris ila on the other hand anajua pia. Asingeitwa Central Comedy kama angekua mbabaishaji.
Nakubaliana na wewe kuna talents kubwa hazijajulikana bado kwa hivo tuziache mpaka muda wao ufike, but until then let's appreciate kilichopo mezani.