Wachekeshaji wetu wajifunze toka kwa wengine

Enzi za kina pwagu na pwaguzi tulikuwa tunacheka kwa kuwasikiliza redioni au mzee jangala siku hizi hakuna ubunifu na wanatumia nguvu nyingi ikiwa pamoja mavazi dume zima linabana pua na kuvaa gauni.
 
Hahaha wanajikandika masinzi na kupakaa malipsti' na mawigi ya ajabu ajabu alimradi taabu tuu magumash matupu
 
Enzi za kina pwagu na pwaguzi tulikuwa tunacheka kwa kuwasikiliza redioni au mzee jangala siku hizi hakuna ubunifu na wanatumia nguvu nyingi ikiwa pamoja mavazi dume zima linabana pua na kuvaa gauni.

We labda huijui sanaa au una chuki binafsi na Mzee Jangala....Sanaa haina limit, ni namna gani tu unataka kuwasilisha ujumbe wako.

Na kama hujui hata the genius comedian Charlie Charplin alivaa gauni na make up za kike wakati anafanya kazi zake za sanaa, bila kusahau magwiji Eddy Murphy wa NORBIT, Martin Lawrence wa BIG MOMMAS, Tyler Perry MADEA etc...mchekeshaji anaweza kucheza character yoyote ile hata ikibidi awe mbwa anakuwa.

Kama ni kuwalaumu wasanii wetu basi ni kwa kukosa ubunifu, wanazunguka palepale miaka nenda rudi.
 
Back
Top Bottom