Alvin A.
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 2,865
- 3,633
1. Hachezi mbali na simu yake kila wakati.[emoji336]
2. Inbox na sent items hufutwa kila wakati.
3. Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie, "hebu kwanza"
4. Kamwe haiiti kwa mlio, always vibration.
5. Namba nyingi ha-save.
6. Kuna simu hapokei hata iweje. Anapenda sms zaidi
7. Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika.
8. Muda mwingi ni mtu wa kujihami.
9. Anapenda password na anabadili mara kwa mara.
10. Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta namba haraka.
11.Always yuko na simu, hadi bafuni ikibidi.
12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simu anajishtukia.
13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara kiwiziwizi
14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture na akikuweka humalizi masaa anakudampu huko
Hapa kuna ukweli asilimia millioni moja kabisa.