Wachepukaji wengi wana tabia hizi

Wachepukaji wengi wana tabia hizi

Mzee baba hakuwa na simu nyingine bali alikuwa anaitumia hiyo hiyo. Michepuko yake yote ilikuwa inanifahamu sema tuu walikuwa wanajua tuna migogoro kiasi kwamba tunakaribia kuachana( ndio anavyowadanganya). Wengine aliwasave majina ya kiume kwahiyo kujua inakuwa ngumu. Wanaume shikamoo jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo ni bonge la BAHARIA, yaani ni CHIEF [emoji1945][emoji570][emoji926]
 
Hizo NI tabia za wenye michepuko ya kudumu. Sis wa hit and run hatutoi hata namba kwa michepuko. Unakuwa na michepuko kila mtaa utakayekutana nae huyo huyo. Hajui Wala hujui namba yake
Unatisha mkuu, yaani unashika mkono tu unababua??[emoji44]
 
1. Hachezi mbali na simu yake kila wakati.[emoji336]

2. Inbox na sent items hufutwa kila wakati.

3. Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie, "hebu kwanza"

4. Kamwe haiiti kwa mlio, always vibration.

5. Namba nyingi ha-save.

6. Kuna simu hapokei hata iweje. Anapenda sms zaidi

7. Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika.

8. Muda mwingi ni mtu wa kujihami.

9. Anapenda password na anabadili mara kwa mara.

10. Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta namba haraka.

11.Always yuko na simu, hadi bafuni ikibidi.

12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simu anajishtukia.

13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara kiwiziwizi

14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture na akikuweka humalizi masaa anakudampu huko

Hapa kuna ukweli asilimia millioni moja kabisa.
[emoji23][emoji23] naona umeamua utoe mbinu za kivita hadhari mchana kweupe [emoji22]
 
Hizo NI tabia za wenye michepuko ya kudumu. Sis wa hit and run hatutoi hata namba kwa michepuko. Unakuwa na michepuko kila mtaa utakayekutana nae huyo huyo. Hajui Wala hujui namba yake

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizo NI tabia za wenye michepuko ya kudumu. Sis wa hit and run hatutoi hata namba kwa michepuko. Unakuwa na michepuko kila mtaa utakayekutana nae huyo huyo. Hajui Wala hujui namba yake
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Simu yake nilikuwa naishika masaa yote hata ukague hadi setting hukuti chochote....hakuwa na pasword zaidi ya pattern ambayo na mimi nilikuwa naijua profile picture na status nilikuwa najaa tele kama kwangu vile. Inshort hakuwa na trace yoyote ya kukufanya umhisi hata kama anacheat.
Kumbe yeye michepuko yake alikuwa anaiambia kabisa nyumbani kuna mjinga mmoja ambae ikifika saa 2 usiku msinitumie meseji wala kupiga na ikifika asubuhi anavyotoka getini ndio anaanza kuwatafuta siku nzima anachepuka wee nyumbani anarudi clean hana chochote kwenye simu. Utakagua hadi alarm hupati chochote ng'oo
 
Back
Top Bottom