Wachepukaji wengi wana tabia hizi

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
2,865
Reaction score
3,633
1. Hachezi mbali na simu yake kila wakati.[emoji336]

2. Inbox na sent items hufutwa kila wakati.

3. Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie, "hebu kwanza"

4. Kamwe haiiti kwa mlio, always vibration.

5. Namba nyingi ha-save.

6. Kuna simu hapokei hata iweje. Anapenda sms zaidi

7. Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika.

8. Muda mwingi ni mtu wa kujihami.

9. Anapenda password na anabadili mara kwa mara.

10. Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta namba haraka.

11.Always yuko na simu, hadi bafuni ikibidi.

12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simu anajishtukia.

13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara kiwiziwizi

14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture na akikuweka humalizi masaa anakudampu huko

Hapa kuna ukweli asilimia millioni moja kabisa.
 

Attachments

  • FB_IMG_1572006122661.jpeg
    81.8 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1571997299785.jpeg
    33.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_20191011-115734.jpeg
    50.8 KB · Views: 3
Hizo picha zinasupport facts namba ngapi hapo ?
 
Mchumba wangu alikuwa mchepukaji maarufu Africa mashariki na kati lakini hakuwa na tabia hata moja kati ya hizo juu na sikuwahi waza kwamba ana msururu wa wanawake ...hao ni wachepukaji wanaoanza wale makonkodi hawana muda wa kukuangalia kwa kuibia sijui kuweka pasword.
 

emu tuanbie hao makonkodi wanafanyaje tupate nasi kujua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mzoef na alikusoma udhaifu wako mkaenda sawa
 
emu tuanbie hao makonkodi wanafanyaje tupate nasi kujua
Simu yake nilikuwa naishika masaa yote hata ukague hadi setting hukuti chochote....hakuwa na pasword zaidi ya pattern ambayo na mimi nilikuwa naijua profile picture na status nilikuwa najaa tele kama kwangu vile. Inshort hakuwa na trace yoyote ya kukufanya umhisi hata kama anacheat.
Kumbe yeye michepuko yake alikuwa anaiambia kabisa nyumbani kuna mjinga mmoja ambae ikifika saa 2 usiku msinitumie meseji wala kupiga na ikifika asubuhi anavyotoka getini ndio anaanza kuwatafuta siku nzima anachepuka wee nyumbani anarudi clean hana chochote kwenye simu. Utakagua hadi alarm hupati chochote ng'oo
 
Huyo alikuwa na simu nyingine anaiacha ofisini ndo imejaa michepuko hiyo huijui,


Unayoijui wala michepuko haipi namba
 

[emoji23][emoji23][emoji23]huyu kweli mhuni



Cc Kingsmann
 
Huyo alikuwa na simu nyingine anaiacha ofisini ndo imejaa michepuko hiyo huijui,


Unayoijui wala michepuko haipi namba
Mzee baba hakuwa na simu nyingine bali alikuwa anaitumia hiyo hiyo. Michepuko yake yote ilikuwa inanifahamu sema tuu walikuwa wanajua tuna migogoro kiasi kwamba tunakaribia kuachana( ndio anavyowadanganya). Wengine aliwasave majina ya kiume kwahiyo kujua inakuwa ngumu. Wanaume shikamoo jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…