WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI

WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI

KABIDO

Member
Joined
Oct 26, 2015
Posts
74
Reaction score
117
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.
2.Inbox na sending items hufutwa kila
wakati.
3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu
kwanza…….
4. Kamwe haiiti always vaibration.
5. Namba nyingi ha save.
6. Kuna simu hapokei hata
iweje….anapenda sms zaidi 7.Majina mengi kwenye simu
yameseviwa
kwa majina ya
kufikirika.
8.Muda mwingi ni mtu wakujihami.
9.Anapenda password na anabadili mara kwa mara.
10.Akiazima simu yako, akitumia tu
anafuta dial no
haraka.
11.Always yuko na simu…..hadi bafuni
ikibidi. 12. Anajazba ukimuuliza chochote
kuhusu
simu….anajishtukia.
13. Akiwa anachati anakuangalia mara
kwa
mara kiwiziwizi
14. Hana jeuri ya kukuweka profile
picture
na akikuweka
humalizi masaa anakudampu huko
Hapa kuna ukweli asilimia millioni moja kabisa
 
Hizo naona ni tabia za kuhusu simu tu vp utafiti wako kuhusu sekta nyinginezo
 
Mimi sina hata huyo mwanamke na tabia hizo nnazo..VP hapo?
 
Back
Top Bottom