Wacheza mpira wa miguu wenye majina ya ajabu

Wacheza mpira wa miguu wenye majina ya ajabu

Ile Kakakuona ya 1993 ilikuwa balaa ikiundwa na akina Itutu Kiggi, Kaunda Mwakitope, Daudi Kufakunoga, Mbuyi Yondani. Ukiacha soka la uhakika, kuyasikiliza majina yakitangazwa na marehemu Dominic Chilambo ilikuwa raha
 
09107NQ3 Chukua code izo ujiunge katika League yetu kwa michuano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE..
 
Mbo Mpenza- Belgium na club alizochezea kama Galatassaray, Sporting Lisbon, Anderlecht miaka ya mwanzoni ya 2001 nakumbuka wakati wa kombe la dunia la Japan na Korea kuna gazeti moja la kibongo lilitoa stori yake pamoja na picha akiwa mazoezini katika mji wa kumamoto japan na kichwa cha habari MBO NDANI YA KUMAMOTO, matokeo yake ikaanzisha mjadala mkubwa sana
Duuuuh....!!!!
 
Back
Top Bottom