Continental Ground
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 1,907
- 3,895
Alikuwa burnley siku wanadro na Chelseakuna mwingine anaitwa "MEE" anacheza league ya uingereza club nimesahau.
Yuko new castlekuna mwingine anaitwa ANITA
Anaitwa mapou yanga mbiwaMapuyanga Mbiwa
Anaitwa Emily mbo mpenzaAnaitwa Mbo Mpenza..hiyo 'o' ya pili mnaongezea kishabiki
Kama ulikuwa hujui basi leo nakujuza hapa hapa mkuu, katika lugha ya Kifaransa ukikuta herufi hizi 'ou' zimefuatana katika jina la mtu/kitu/sehemu unatakiwa uignore 'o' utamke tu 'u'Anaitwa mapou yanga mbiwa
hahahaaa..................Serunkumma harafu siku hiyo timu yake inacheza na Libolo ya Angola.
Duuuuh....!!!!Mbo Mpenza- Belgium na club alizochezea kama Galatassaray, Sporting Lisbon, Anderlecht miaka ya mwanzoni ya 2001 nakumbuka wakati wa kombe la dunia la Japan na Korea kuna gazeti moja la kibongo lilitoa stori yake pamoja na picha akiwa mazoezini katika mji wa kumamoto japan na kichwa cha habari MBO NDANI YA KUMAMOTO, matokeo yake ikaanzisha mjadala mkubwa sana