Wachezaji 20 Simba SC waondoka nchini kuelekea Alexandria Misri kuifuata Al- Ahly

Hivi unaposema kimya kimya unamaanisha nini? Tarehe, siku ilikuwa ikifahamika ya kuondoka..Au kuna siku Simba waliingia mtaani wakasema jamaani eeeeh Kesho tunaondoka..!
Timu imeondoka kimya kimya, sio kama raundi zilizopita. Afadhali Manara kapigwa breki. Huwaweka wachezaji under pressure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitake radhi. Ni heri niwe kada wa Chama Cha Majambazi kuliko kuwa Shabiki wa Mbumbumbu fc.
Nimepima post ya awali na ya mwisho kumbe ni watu wawili tofauti..ya kwanza ana kitu fulani cha ujuzi..!

Huyu wa pili ana vinasaba vya wale walifanya ule ukatili kule Njombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila lakheri mnyama, moja ƙati ya timu nilizoomba tupangwe ƙunɗi moja ni hawa alƴ ahlƴ

Mechi ngumu ƙwetu ilikua moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…