Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ndio huyo huyo nyie mashabiki wa Mikia mnaemuamini kuliko hata Wake au Waume zenu wanapoongea kituHahaha Manara ndio Mbumbumbu namba moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio huyo huyo nyie mashabiki wa Mikia mnaemuamini kuliko hata Wake au Waume zenu wanapoongea kituHahaha Manara ndio Mbumbumbu namba moja.
Nitake radhi. Ni heri niwe kada wa Chama Cha Majambazi kuliko kuwa Shabiki wa Mbumbumbu fc.Ndio huyo huyo nyie mashabiki wa Mikia mnaemuamini kuliko hata Wake au Waume zenu wanapoongea kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha kweli hii kaliNitake radhi. Ni heri niwe kada wa Chama Cha Majambazi kuliko kuwa Shabiki wa Mbumbumbu fc.
Timu imeondoka kimya kimya, sio kama raundi zilizopita. Afadhali Manara kapigwa breki. Huwaweka wachezaji under pressure.
Hii inaitwa "future impossible tenses" ni sawa na mkundu kutafuna mua haiwezekani kamwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Andaďogi Wanaenda kuogelea magoli kama ya Congo
Yanga 0-6 Raja...Tatizo lilianzia hapa kwa UnderChura [emoji196][emoji196] kufungua ukurasa
As vita 5 - 0 andadogi Hiki kichàpo ni reçent kabisa hakijafikisha hata mwezi mmojaYanga 0-6 Raja...UnderChura hii hawatakaa waje wasahau kamwe![emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Mashabiki jina. Hajui kama Al Ahly ndio Madrid ya Africa. Yeye anaamini timu yake inaweza kuishinda Al Ahly tena kwenye uwanja wake. Na ikitokea Simba kafungwa anaona uzembe umefanyika. Mashabiki kama hao ndio wanafanya siku hizi soka la Bongo nifuatilie matokeo tu.
Nimepima post ya awali na ya mwisho kumbe ni watu wawili tofauti..ya kwanza ana kitu fulani cha ujuzi..!Nitake radhi. Ni heri niwe kada wa Chama Cha Majambazi kuliko kuwa Shabiki wa Mbumbumbu fc.
WOIIIIII MNADHALILISHWA KWA MAGOLI MENGI, MNALIABISHA TAIFAMnaumia SIMBA kuwa MAKUNDI CAF CL, ila mnajikaza tu kwa umbea mmezoea.
HA HA HAwazee wa TECNO ya 70,000/=
YAANI INASIKITISHA SANA..TATIZO WABISHI SANA MASHABIKI ZAO
GOR MAHIA 4-0 YANGA ...kenya hapoWOIIIIII MNADHALILISHWA KWA MAGOLI MENGI, MNALIABISHA TAIFA
Wapeleke Yanga... wakapotee na ndege5 star mkirudi mtakua mmepigwa kipigo kitakatifu!
Mikia FC.Ombaomba fc..AKA...makwasukwasu fc....AKA..mbutembute fc....AKA...vyuraaaaa.....AKA..Gongowaziiiiii
wivu kwa underdog? hahahahaGOR MAHIA 4-0 YANGA ...kenya hapo
YANGA 1-3 GOR MAHIA... Tanzania hapa.
Acha ushamba mnaona wivu