Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Mna utoto sana kila kitu ni kushindana[emoji23][emoji23][emoji23] Diara BENCH
[emoji23][emoji23][emoji23]Job BENCH
[emoji23][emoji23][emoji23]Mudathir BENCH
[emoji23][emoji23][emoji23] Aziz BENCH
[emoji23][emoji23][emoji23] Musonda BENCH
UNACHEKESHA
We mwehu kweli wewe sio bure, kaangalie diarra anafanya Nini kwa sasa timu yake ya Taifa, Mudathir, job, mwamnyeto na baka ndio roho ya timu ya Taifa kwa sasa, Aziz ki kule Burkina Faso kaangalie rekodi zake kwanza[emoji23][emoji23][emoji23] Diara BENCH
[emoji23][emoji23][emoji23]Job BENCH
[emoji23][emoji23][emoji23]Mudathir BENCH
[emoji23][emoji23][emoji23] Aziz BENCH
[emoji23][emoji23][emoji23] Musonda BENCH
UNACHEKESHA
Mkongwe ni mzee Samatta pekee
Mbona imejaza majembe ya Yanga itafaulu Tu. Wachezaji wanne si mchezo.Hii timu inaenda tu kushiriki, na wala siyo kushindana.
WA Yanga ndio wanajua Mpira hata Stars ikishinda ni Kwa ajili ya wachezaji wanne WA Yanga. Wamefu guliwa Hadi Uzi humu ndani. Sijui ikifanya vibaya watasingiziwa WA Simba?.Naona wamebalance.
Simba 4 yanga nao 4.
Halafu tuna wazungu aisee na pia mzungu mwingine bongo zozo.
Usihangaike, hapo umri halisi ni X+7.Ila wachezaji wetu wamepika sana umri kwakweli
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app