Wachezaji 27 wa kikosi cha Mwisho watakao wakilisha Tanzania AFCON

Wachezaji 27 wa kikosi cha Mwisho watakao wakilisha Tanzania AFCON

[emoji23][emoji23][emoji23] Diara BENCH
[emoji23][emoji23][emoji23]Job BENCH
[emoji23][emoji23][emoji23]Mudathir BENCH
[emoji23][emoji23][emoji23] Aziz BENCH
[emoji23][emoji23][emoji23] Musonda BENCH

UNACHEKESHA
Mna utoto sana kila kitu ni kushindana
 
Naona wamebalance.

Simba 4 yanga nao 4.

Halafu tuna wazungu aisee na pia mzungu mwingine bongo zozo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Diara BENCH
[emoji23][emoji23][emoji23]Job BENCH
[emoji23][emoji23][emoji23]Mudathir BENCH
[emoji23][emoji23][emoji23] Aziz BENCH
[emoji23][emoji23][emoji23] Musonda BENCH

UNACHEKESHA
We mwehu kweli wewe sio bure, kaangalie diarra anafanya Nini kwa sasa timu yake ya Taifa, Mudathir, job, mwamnyeto na baka ndio roho ya timu ya Taifa kwa sasa, Aziz ki kule Burkina Faso kaangalie rekodi zake kwanza
 
Naona wamebalance.

Simba 4 yanga nao 4.

Halafu tuna wazungu aisee na pia mzungu mwingine bongo zozo.
WA Yanga ndio wanajua Mpira hata Stars ikishinda ni Kwa ajili ya wachezaji wanne WA Yanga. Wamefu guliwa Hadi Uzi humu ndani. Sijui ikifanya vibaya watasingiziwa WA Simba?.
 
Back
Top Bottom