GE2025 Wachezaji 7 wa mpira (chini ya Miaka 20) wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa majumbani mwao

GE2025 Wachezaji 7 wa mpira (chini ya Miaka 20) wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa majumbani mwao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
1000497779.jpg

VIRAL SCOUT MANAGEMENT OFFICIAL STATEMENT​
Condemnation of the Tragic Killings of Our Young Talents

Viral Scout Management is heartbroken to announce the devastating loss of seven promising young football talents under our management: Rajabu Rajab (17), Anthony Rico (18), Abdulqareem Ali (16), Peter Eliya (19), Mshani Musa (17), Omar Musa (15), and John Hosea (22). These vibrant players were gunned down in senseless acts of violence at their homes in Dar es Salaam, Mbeya, and Mwanza.

We vehemently condemn the killings of civilians and players alike. No one deserves to have their dreams stolen in such a brutal manner. These young athletes were the future of Tanzanian football, dedicated to their craft and inspiring countless others.

As we mourn, we hold firm to our motto:
“There is no pressure when you are making dreams come true.”

We call on authorities to deliver swift justice and urge enhanced protection for our youth.

Rest in peace, our stars. Your legacy lives on.

Viral Scout Management
Dar es Salaam, Tanzania
November 03, 2025
 
Mwenzetu mmoja kauwawa akiwa anaenda dukani, mwingine mtaani kwetu kauwawa siku ya Alhamisi, kulikuwepo joto Dar akatoka kwenda kujaribu kutafuta maji mchana kweupe akapigwa risasi barabara ya wazi kabisa mtaani.

Mwingine aliacha hela kwenye kiduka chake cha kuuza pombe, akaenda Jumatano kufungua ili kuchukua hela akapate mahitaji maana uchumi wa Dar raia wengi wanakula hela waliyopata siku hiyo au iliyolala jana, akauwawa.

Na bado hatujazungumzia kesi za waliopotea, wasiojulikana wako wapi kuanzia hiyo Jumatano, Alhamisi na Ijumaa kila siku walikuwa wanapotea watu kadhaa.
 
“There is no pressure when you are making dreams come true.”
 
Mwenzetu mmoja kauwawa akiwa anaenda dukani, mwingine mtaani kwetu kauwawa siku ya Alhamisi, kulikuwepo joto Dar akatoka kwenda kujaribu kutafuta maji mchana kweupe akapogwa risasi barabara ya wazi kabisa mtaani.

Mwingine aliacha hela kwenye kiduka chake cha kuuza pombe, akaenda Jumatano kufungua ili kuchukua hela akapate mahitaji maana uchumi wa Dar raia wengi wanakula hela waliyopata siku hiyo au iliyolala jana, akauwawa.

Na bado hatujazungumzia kesi za waliopotea, wasiojulikana wako wapi kuanzia hiyo Jumatano, Alhamisi na Ijumaa kila siku walikuwa wanapotea watu kadhaa.
Inasikitisha sana, nna jamaa yangu wa kariakoo anaishi mabibo hadi sasa simpati hewani na sio kawaida yake.
 
Back
Top Bottom