GE2025 Wachezaji 7 wa mpira (chini ya Miaka 20) wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa majumbani mwao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yaani inaonekana kila aliyekuwa anaonekana barabarani ni kuuwawa
 
Ila Mungu atalipa mimi naapa huyu Mama miaka 2 hatoboi maana hata wanaomzunguka hawajalipenda alilolifanya
 
Asante sana mkuu siamini kabisa

Kuna watu walikuwa wanapita mtaan wanaua kila mtu wanayekutana naye
Hiyo habari nilisikia ila sikudhani kama ingekuwa na maafa kiasi hiki nachoona kwenye picha
 
Ila Mungu atalipa mimi naapa huyu Mama miaka 2 hatoboi maana hata wanaomzunguka hawajalipenda alilolifanya
Hao waliomzunguka ndo wametufikisha hapa kwa kilamisha yeye kusimama kua mgombea

Wapo kwenye ulaji wanalifuraia kwelikweli

Subili Bunge lianze muanze kusutwa na kutoneshwa vidonda kwa maneno ya kejeri na kebei
 
Asante sana mkuu siamini kabisa

Kuna watu walikuwa wanapita mtaan wanaua kila mtu wanayekutana naye
Hawa "WATU", ni kina nani hasa!
Ni watu wa Jumanne Mulilo, au ni nani hawa?

Nadhani ni vyema kuanza kujibu hili swali, vinginevyo tutakuwa tunajiumiza tu akili

Ni vyema pia tuanze kuwapa heshima wahanga wa uovu huu, kwa kuwapa majina sahihi na taarifa nyingine muhimu zinazo wahusu

Hili ni tukio kubwa sana ndani ya nchi yetu, tusiishie kuzungumza kijumla jumla tu hivi.
 
Alafu eti anaapa "ee mwenyezi mungu nisaidie" hivi ni mungu gani anaekubali huu uonevu wa mass killing kiasi hiko kwa watu wasio na silaha?
 
Hii habari ya "wachezaji 7 wa mpira..."

Kuna kitu gani zaidi kinacho waunganisha mbali ya uchezaji wao wa mpira; kwamba iwe kama wamelengwa kwa maksudi; tena wakiwa maeneo mbalimbali ya nchi? Hapo nadhani kuna kitu cha ziada; siyo 'Random'.
 
Mkuu utanionea tu mamlaka zote ziko kimiya
 
Hii habari ya "wachezaji 7 wa mpira..."

Kuna kitu gani zaidi kinacho waunganisha mbali ya uchezaji wao wa mpira; kwamba iwe kama wamelengwa kwa maksudi; tena wakiwa maeneo mbalimbali ya nchi? Hapo nadhani kuna kitu cha ziada; siyo 'Random'.
Reinforces ile dhana anything that moves is a legitimate target. Mazingira haya kweli wa kutiki walitiki hadi kumpa salha ushindi wa 98%?
 
Wengi wa walioathirika ni ambao walikuwa kwenye mishe zao za kawaida za maisha!
Inasikitisha sana. Na ili kukwepa lawama kwa vyombo vya usalama, wameamua kusema kuwa hao waliokufa wametoka mataifa ya jirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…