GE2025 Wachezaji 7 wa mpira (chini ya Miaka 20) wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa majumbani mwao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nilisema juzi kwamba sasa ndo mauaji yatakuwepo live.
 
Vyuo vikuu navyo soon vitaanza kutoa mikeka!
 
Tulizoea kusoma massacre kwenye Historia shuleni, Sasa leo hii tumejionea wenyewe.
 
Hata kama huko nyuma tuliwahi kuwa na watawala wenye matatizo mbalimbali, lakini hatukuwahi kuwa na shetani wa kiwango cha huyu wa sasa. Huyu siyo binadamu. Kuna ndugu na jamaa zangu, jumla yao ni 3, wote wameuawa na huyu shetani. Wawili wameuawa wakiwa nyumbani, mmoja akiwa anatoka kazini, na mwingine mpaka leo hatujui aliko, hatujui kama yupo hai au wamemwua. Kule Wamemwua mpaka mtoto wa miaka 12 aliyekuwa anampelekea chakula mama yake aliyekuwa amelazwa hospitalini.. Kwa kweli tusimame pamoja, tuiombe Dunia isimame nasi mpaka huyu shetani alipie hizo damu na roho zaidiya 3,000 alizozipoteza. Amewaleta wazanzibari a waganda kuja kuwamaliza Watanganyika. Hii kamwe tusiikubali.
 
Inasikitisha sana ,yote hayo ni kutaka kutawala kwa mkono wa chuma.

Unaua watu ili ubaki madarakani really? Like seriously? Viongozi wa TZ jifunzeni kwa JPM aliyeasisi Utekaji na mauaji hii ndiyo imetengeza chuki(Sorry kwa wazee wa legacy ,huo ndiyo ukweli JIWE alitugawa)
 
Mkuu utanionea tu mamlaka zote ziko kimiya
Hapana. Sikuwa na nia ya kukutwisha mzigo wa kazi hiyo wewe binafsi, nililenga kwetu sote tulio na taarifa zozote kuhusu mkasa huu ulio waangukia waTanzania wenzetu; kwa niaba yetu sote.

Wajibu tuliobaki nao sisi ni kuwatambua na kuwapa heshima stahiki; huku tukiendelea kutafuta njia za kuwawajibisha waovu waliohusika na tukio hili.
 
Tutaambiwa hao wachezaji ni wakenya......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…