Wachezaji 7 wa Simba SC waliotoroka kambini usiku kwenda kula bata

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Usiku wa siku ya Al hamisi kuamkia siku ya Ijumaa ya Mechi yao dhidi ya Bandari FC kwenye michuano ya SportPesaCUP.

Wachezaji 7 wa Simba SC wakiongozwa na Maestro mwenyewe Haruna Hakizimana Niyonzima (Mtoto wa Gisenyi, Rwanda) walitoroka Usiku kwenda Viwanja kula Bata.

1.Haruna Niyonzima
2. Paul Bukaba
3. Hasani Dilunga
4. Yasin Mzamiru
5. Ibrahim MO
6. Said Juma
7. Shiza Kichuya

Je kupoteza kwa mechi yao leo kumetokana na uchovu walioupata wakiwa Viwanja usiku wa Al Hamisi?

Au Bandari FC wanaupiga mwingi kuliko Simba SC?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa Alex Lwambano ,Kipigo kiliwahusu
 
hii ni double standard na kutaka kwaonea baadhi ya wachezaji wa kizawa, okwi hakai kambini hata siku moja na kila mara tunamuuona mtaani akila bata tuu kabla na kila baada mechi za simba, mbona hajawahi kuchukuliwa hatua zozote?
 
kama ZA-PESA na Beno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…