demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Usiku wa siku ya Al hamisi kuamkia siku ya Ijumaa ya Mechi yao dhidi ya Bandari FC kwenye michuano ya SportPesaCUP.
Wachezaji 7 wa Simba SC wakiongozwa na Maestro mwenyewe Haruna Hakizimana Niyonzima (Mtoto wa Gisenyi, Rwanda) walitoroka Usiku kwenda Viwanja kula Bata.
1.Haruna Niyonzima
2. Paul Bukaba
3. Hasani Dilunga
4. Yasin Mzamiru
5. Ibrahim MO
6. Said Juma
7. Shiza Kichuya
Je kupoteza kwa mechi yao leo kumetokana na uchovu walioupata wakiwa Viwanja usiku wa Al Hamisi?
Au Bandari FC wanaupiga mwingi kuliko Simba SC?
Sent using Jamii Forums mobile app