SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Huyo ndiye kungwi waoYule wa Mzee Tozzi ,naye umemhesabu kwenye hao tisa?
kwani mda wa usajili si bado upo kwanini mnawashwa na mambo yasiyowahusuWenzenu wanasajiri nyie mmekalia maneno baadae mta anza kung'oa mabango na kusingizia GSM
Wewe hapa kwenye uzi wa Yanga unatafta nini kama sio kuwashwakwani mda wa usajili si bado upo kwanini mnawashwa na mambo yasiyowahusu
Ni kweli kwasababu aliwafunga makoloBalama jamani wangemvumilia kidogo
Mapinduzi Balama majeruhi yamemfanyia ukatili wa kutisha.Kitaifa
-Yassin mustapha [emoji1666]
-Deus kaseke[emoji1666]
-Paulo Godfrey [emoji1666]
-Balama mapinduzi [emoji1666]
-Ramadhani kabwili[emoji1666]
-Abdallah Shaibu[emoji1666]
[emoji617]KIMATAIFA.
-Chico ushindi wa kubanza [emoji777]
-Saido Ntibazonkiza [emoji777]
Waliosalia Yanga sc 2022-23
-Djugui Diarra✓
-Djuma shabani✓
-Yannick litombo bangala✓
-Khalid Aucho✓
-Fiston kalala Mayele✓
-Yacouba songne(Loans) kwa sasa wapo kwenye mazungumzo ya mkataba mpya.[emoji352]
-Jesus Ducäpel Moloko.✓
-Heriter Ebenezer Makambo.✓
[emoji3040]WAPYA KIMATAIFA
-Benard Morrison.
-Lazaouros kambole.
-Joyce Lomalisa mutambala.
-Gaël Bigirimana.
-Stephine Azizi ki.
[emoji973]️ KITAIFA WATAKAOKWENDA KWA MKOPO.
-Omary chibada u21
-Geofrey magaijwa u21
Kuna wachezaji wanne Kutoka timu ya vijana ya u21 watapandishwa na watatu watatolewa kwa mkopo kwenda kwenye timu za ligi kuu Nbc primier league.
[emoji843][emoji843]
Moloko ana akili kubwa ya mpira, akipambana akaona mambo magumu huwa anajiingiza mzima mzima na mpira kwenye kumi na nane kutafuta penati. ni kama Morisson pia. bado Yanga inamhitaji sana kuwachosha mabeki kisha Nkane anaingia kumaliza kazi.MOLOKO AONDOKE TU MAANA CROSS HAWEZI PIGA
Yaani bado unamtaka kaseke?Deus Kaseke imekuwaje au Kiwango? Daaaa
Tena huyu ndo faster angetembea.MOLOKO AONDOKE TU MAANA CROSS HAWEZI PIGA
Hii kitu hata mimi sijakubliana nayo.Yassin mustapha why jamani aachwe halafu ukizingatia alicheza mechi nyingi kuliko yule Bryson ambaye anabaki..!