Wachezaji ambao wamepewa mkono wa kwaheri Yanga SC

Wachezaji ambao wamepewa mkono wa kwaheri Yanga SC

Kitaifa
-Yassin mustapha [emoji1666]
-Deus kaseke[emoji1666]
-Paulo Godfrey [emoji1666]
-Balama mapinduzi [emoji1666]
-Ramadhani kabwili[emoji1666]
-Abdallah Shaibu[emoji1666]

[emoji617]KIMATAIFA.

-Chico ushindi wa kubanza [emoji777]
-Saido Ntibazonkiza [emoji777]

Waliosalia Yanga sc 2022-23

-Djugui Diarra✓

-Djuma shabani✓

-Yannick litombo bangala✓

-Khalid Aucho✓

-Fiston kalala Mayele✓

-Yacouba songne(Loans) kwa sasa wapo kwenye mazungumzo ya mkataba mpya.[emoji352]
-Jesus Ducäpel Moloko.✓

-Heriter Ebenezer Makambo.✓

[emoji3040]WAPYA KIMATAIFA

-Benard Morrison.
-Lazaouros kambole.
-Joyce Lomalisa mutambala.
-Gaël Bigirimana.
-Stephine Azizi ki.

[emoji973]️ KITAIFA WATAKAOKWENDA KWA MKOPO.

-Omary chibada u21
-Geofrey magaijwa u21

Kuna wachezaji wanne Kutoka timu ya vijana ya u21 watapandishwa na watatu watatolewa kwa mkopo kwenda kwenye timu za ligi kuu Nbc primier league.

[emoji843][emoji843]
Mapinduzi Balama majeruhi yamemfanyia ukatili wa kutisha.

Moloko alitakiwa na yeye kusepa! Maana hana tofauti kubwa na wazawa. All in all ngoja tusubiri tuone.
 
MOLOKO AONDOKE TU MAANA CROSS HAWEZI PIGA
Moloko ana akili kubwa ya mpira, akipambana akaona mambo magumu huwa anajiingiza mzima mzima na mpira kwenye kumi na nane kutafuta penati. ni kama Morisson pia. bado Yanga inamhitaji sana kuwachosha mabeki kisha Nkane anaingia kumaliza kazi.
 
Huyo aziz ki kama wamesajili mesi ushamba mzigo kweli mchezaji mwenyewe kila siku mnampiga calendar.
 
Kabwili hawezi ondoka, ameshasema atafia hapo.
Akitoka nani atamchukua? Mlivomuumbua mlitaka nn?
Huyo ni wenu na mbna mlea, ngoja kwan nimpigie cm kumuuliza.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yassin mustapha why jamani aachwe halafu ukizingatia alicheza mechi nyingi kuliko yule Bryson ambaye anabaki..!
 
Yanga ni noma tunashindana kusajili wachezaji na man city, barca, R. Madrid.

Naskia huyu dogo Bigirimana alikataa ofa za timu tajwa hapo juu, akaona chaguo sahihi ni jangwani tu.
 
Back
Top Bottom