Why US President Donald Trump wants Cristiano Ronaldo in America
US President Donald Trump has publicly called on Cristiano Ronaldo to come to America, declaring the Portuguese superstar the βGreatest of All Timeβ in a message that quickly went viral. The unexpected appeal blended sport and politics, drawing global attention as fans reacted to the idea of...sports.yahoo.com
Ronaldo, you are the greatest of all time. We need you in America. Get going, we need you fast,β Trump posted on social media.
Hiyo bingwa ya Spain ndio nini mkuu??Hata wachezaji waliompa mkono Trump unaona kabisa hawakua friendly kama ambavyo walifanya kwa wale wengine pale jukwaani. Halafu trump alivyokua kichaa akalazimisha atokee kwenye bingwa ya spain ya ubingwa πππ. Infantino akajaribu kumtoa. Trump akakataa
Ameweka bana japo Trump ni kigeu geu kesho tu unaweza kuamka ukakuta anampa za uso KirisitianoAkija kukuonesha Trump aliposema hivyo mimi hydroxo nitakuonesha mkojo wa sisimizi.
Nilitaka kuandika picha ya ubingwa ya spain. Trump alipambana na yeye mpaka akatokelezeaHiyo bingwa ya Spain ndio nini mkuu??
Huyo babu anajitahidi kuiharibu marekani kwanguvu ngoja tuone atakapoifikisha mpaka anatoka madarakani.Nilitaka kuandika picha ya ubingwa ya spain. Trump alipambana na yeye mpaka akatokelezea View attachment 3633908
Jana alinichekesha sana. Hiyo picha madogo wa miaka 30 ijayo wakiiangalia wanaweza kujua trump alikua kochaHuyo babu anajitahidi kuiharibu marekani kwanguvu ngoja tuone atakapoifikisha mpaka anatoka madarakani.