Inawezekana Mayelle alisema kweli kuhusu Azam kukamia timu kubwa?Mechi ya
Azam na Yanga ilimaliza Energy yote ya Azam na bench la ufundi la Namungo walilitambua ilo waka cheza gem kwa intensity kubwa.
Ata leo ihefu wakicheza mpira kwa kasi na nguvu wanauhakika wa kupata matokeo.
Timu chache sana kwenye ligi zenye utimamu wa mwili wa kiwango cha Yanga na hasa kama mechi zinachezwa kwa kukaribiana.
Mkuu umemaliza yote. Azam ametumia nguvu nyingi kuikabili yangaMechi ya
Azam na Yanga ilimaliza Energy yote ya Azam na bench la ufundi la Namungo walilitambua ilo waka cheza gem kwa intensity kubwa.
Ata leo ihefu wakicheza mpira kwa kasi na nguvu wanauhakika wa kupata matokeo.
Timu chache sana kwenye ligi zenye utimamu wa mwili wa kiwango cha Yanga na hasa kama mechi zinachezwa kwa kukaribiana.
Hii timu Mzee Bakhresa anapoteza hela zake bure tu, angeongeza uzalishaji wa ukwaju.Wachezaji wa Azam wanacheza mechi mbili TU kwenye ligi za Yanga na Simba TU basi. Mzee Bakhersa afanye nini ili Azam ifanye vizuri? Fei alikuwa akifanya vizuri sana akiwa Yanga ingawa alikuwa akilishwa ugali na sukari lakini Sasa haisaidii Azam ingawa analishwa biliani na Mzee Bakhersa.
Inawezekana chakula Cha wachezaji na malezi ya wachezaji wa Azam likiwa ndio tatizo la timu ya Azam?
Wao furaha yao ni kumkazia Simba na Yanga tuBado wanasafari ndefu
Kwahiyo Ihefu naye leo atakaza kwa Simba?Hata ihefu ilifanya hivyo kwa Yanga kisha ikasuasua kwenye mechi za Rika lake
Sio inawezekana huu ndio ukweli ukiangalia kwenye game mbili za Jana utajua Yanga ilikuwa ileile iliyocheza na Azam huku wachezaji wote wakiwa na shauku ya kufanya Bora zaidi wakati wale wa Azam ni kama unajiuliza ni wale wa mechi iliyopita au Hawa ni wengine!?Inawezekana Mayelle alisema kweli kuhusu Azam kukamia timu kubwa?
Mtibwa Sugar business model.Ajikite kwenye kuzalisha vipaji kwenye Sola la watoto, aachane na timu ya ligi kuu.