Wachezaji Bongo waliovuma kwa muda mfupi kisha wakapotea kwenye soka

John Thomas Masamaki ni marehemu kwa sasa. Huyu jamaa hakuwa na bahati ya kujulikana mapema kwani miaka mingi sana alicheza TPC ya Moshi baadae akaitumikia Mtibwa ya Morogoro kwa hiyo wakati anasajiliwa Simba umri ulikuwa umeshamtupa mkono. Kwa Simba alicheza muda mfupi sana nafikiri umri nao ulichangia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…