Wachezaji Bongo waliovuma kwa muda mfupi kisha wakapotea kwenye soka

Kuna game yanga aliongoza goli tatu kipindi cha kwanza simba akazichomoa zote kipindi cha pili

Yule fowad wa simba mrefumrefu hivi alipiga goli la pili kama sikosei nilimtabiria kufika mbali sasa sijui aliishia wapi

Au conekshen ilikosekana maana wamebaki mapopo kina ajibu na ndemla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…