Ndukidi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,499
- 1,297
Gatusso and El Apache/Tevez
Juan Roman Riquelme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gatusso and El Apache/Tevez
Dah....acha kabisaaa.....ila bado kidogo anafanya vitu vyakeQuaresma ni moja ya wachezaji waliokuwa wanatumainiwa watafanya makubwa sana katika ulimwengu wa Soka...
Miaka ya nyuma Jamaa alikuwa moto wa kuotea mbali.saizi umri umemutupa mkono.
View attachment 497820
Okay mkuu, siwezi kubisha maana sikuwahi kumfuatilia kiundani. Nilikurekebisha kwa sababu ulikua umem_quote mdau aliemtaja Meireles, wewe ukaweka picha za Ramires.Sawa-sawa Mkuu!! Nakubaliana na hilo.
Nakama umewahi kucheza soka,binafsi nimecheza soka sana na naendelea kucheza...utakubaliana na mimi kwamba ramires MBrazil hata yeye huwa anapendelea kuvaa miligezo uwanjani.
Ricardo, umetisha mkuuQuaresma
Nimeona... nilimchanganya Mreno huyo Meireles na Ramires!Okay mkuu, siwezi kubisha maana sikuwahi kumfuatilia kiundani. Nilikurekebisha kwa sababu ulikua umem_quote mdau aliemtaja Meireles, wewe ukaweka picha za Ramires.
Hapo nilidhani labda umechanganya but tuko pamoja sana.
Gaucho alinhanishwi jamaa. Yule ni RAIA mwingine. Inasemekana alitengenezwa maabara kwenye laboratory moja matata pale Rio. Gauchoooo???!Kipindi yupo vizuri,kanzu na chenga za mauzi mabeki walikuwa wanapewa bila upendeleo.
Alikuwa anacheza Soka la kuvutia kama Gaucho!
Mkuu,Gaucho alinhanishwi jamaa. Yule ni RAIA mwingine. Inasemekana alitengenezwa maabara kwenye laboratory moja matata pale Rio. Gauchoooo???!
Gaucho alinhanishwi jamaa. Yule ni RAIA mwingine. Inasemekana alitengenezwa maabara kwenye laboratory moja matata pale Rio. Gauchoooo???!
CR7 hatamusahau huyu Kiumbe pale "sansiro" alitia huruma sana CR7 wa Old Trafford.
Jamaa anakukaba uwanjani kama vile kumbikumbi wale wanaoishiwa mabawa nakuanza kushikana makali* huku safari ikiendelea.Te teh teh teh hana hamu nae