Wachezaji bora wavaao legeza/kata K

Sawa-sawa Mkuu!! Nakubaliana na hilo.

Nakama umewahi kucheza soka,binafsi nimecheza soka sana na naendelea kucheza...utakubaliana na mimi kwamba ramires MBrazil hata yeye huwa anapendelea kuvaa miligezo uwanjani.
Okay mkuu, siwezi kubisha maana sikuwahi kumfuatilia kiundani. Nilikurekebisha kwa sababu ulikua umem_quote mdau aliemtaja Meireles, wewe ukaweka picha za Ramires.

Hapo nilidhani labda umechanganya but tuko pamoja sana.
 
Nimeona... nilimchanganya Mreno huyo Meireles na Ramires!

Safi sana kwa kunisahihisha.
 
Dah....acha kabisaaa.....ila bado kidogo anafanya vitu vyake
Kipindi yupo vizuri,kanzu na chenga za mauzi mabeki walikuwa wanapewa bila upendeleo.

Alikuwa anacheza Soka la kuvutia kama Gaucho!
 
Kipindi yupo vizuri,kanzu na chenga za mauzi mabeki walikuwa wanapewa bila upendeleo.

Alikuwa anacheza Soka la kuvutia kama Gaucho!
Gaucho alinhanishwi jamaa. Yule ni RAIA mwingine. Inasemekana alitengenezwa maabara kwenye laboratory moja matata pale Rio. Gauchoooo???!
 
Gaucho alinhanishwi jamaa. Yule ni RAIA mwingine. Inasemekana alitengenezwa maabara kwenye laboratory moja matata pale Rio. Gauchoooo???!
Mkuu,
Siunajua tena mawazo ya wadau wa Soka!

Ila kama ulipata kumtazama kipindi yupo fomu...hakika alikuwa vyema.
 
Gaucho alinhanishwi jamaa. Yule ni RAIA mwingine. Inasemekana alitengenezwa maabara kwenye laboratory moja matata pale Rio. Gauchoooo???!

Kamanda ebu mtafute uyo gaucho ka utampata hata top 5. Ukimpata naomba nipigwe ban ya kudumu. MODS WANASHUHUDIA
 
Te teh teh teh hana hamu nae
Jamaa anakukaba uwanjani kama vile kumbikumbi wale wanaoishiwa mabawa nakuanza kushikana makali* huku safari ikiendelea.

Kibaya zaiidi haogopi kadi na anakutisha vile vile.
Ronaldo alipata taabu ile mechi hata sikuamini macho yangu huku wakati huo Ronald alikuwa wa motooo vibaya!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…