BABA NEJAD
Member
- Nov 24, 2014
- 43
- 44
Charles Ilanfya ni raia wa wapi..Tupendekeze...
View attachment 1539923
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Charles Ilanfya ni raia wa wapi..Tupendekeze...
View attachment 1539923
Tanzania, Jamhuri ya MuunganoCharles Ilanfya ni raia wa wapi..
Aliwapiga utopolo kile kidude cha kwanza kati ya manneKuna watu watakuja kumtetea Fraga
Tulitakiwa tutafute no6
Tanzania, Jamhuri ya Muungano
Wafuatao safari imeiva:
Tyrone Santos--kashindwa kufurukuta kabisa
Fraga- nafasi hii keshaletwa mbadala wake L.
Bwalya
Shiboub- uwepo wa Miquisone, Dilunga, Chama, L
Bwalya unamfanya Shiboub adrop zaidi ktk
pecking order
Ila pamoja na hayo lakini Simba tunafanya kukurupuka sana ktk usajili ndani ya miaka hii miwili,, tuliwaleta Wabrazil 3, kisha Shiboub akafuata na tukamuacha Kotei kwakuwa Simba ilikataa kumuongezea dau ili abaki.
Leo hii tunaenda tena sokoni kumchukua Larry Bwalya huku tukitarajia kumuacha Shiboub wakati Fraga akiwa ktk hatihati ya kuachwa
TUNAFUTA 'O' KISHA TUNACHORA SIFURI
siku hizi ili ueleweke lazima ujifanye Simba. hao wazee ndio kina Kagere, Boko na Wawa? ndio waliowapiga 4 mkabaki mnakenua tu. ndio mabingwa mara 3, ndio wamechukua makombe yote, ndio wafungaji bora, ndio walinzi wa AirManula mpaka kuwa kipa bora, ukimtoa mzee Okwi ndio waliokuwa wanawatia Al Ahl AS Vita na Nkana. Pumbaaavu
Aisee, matusi ya nini tena?siku hizi ili ueleweke lazima ujifanye Simba. hao wazee ndio kina Kagere, Boko na Wawa? ndio waliowapiga 4 mkabaki mnakenua tu. ndio mabingwa mara 3, ndio wamechukua makombe yote, ndio wafungaji bora, ndio walinzi wa AirManula mpaka kuwa kipa bora, ukimtoa mzee Okwi ndio waliokuwa wanawatia Al Ahl AS Vita na Nkana. Pumbaaavu
umeanza wewe matusi,huwezi kuita timu yangu kituo cha kulelea wazee
U-mshenz!!!!umeanza wewe matusi,huwezi kuita timu yangu kituo cha kulelea wazee
Captain wangu mlipili amechwa..-Klabu ya Simba kesho inaingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wachezaji 28 ambao wataitumikia Simba msimu 2020/21.
Magolikipa
1-Aishi Manula
2-Beno Kakolanya
3-Ally Salim
Mabeki
4-Shomary Kapombe
5-David Kameta Duchu
6-Mohamed Hussein
7-Gadiel Michael
8-Erasto Nyoni
9-Pascal Wawa
10-Kennedy Juma
11-Ibrahim Ame
12-Joash Onyango
Viungo
13-Jonas Mkude
14-Gerson Fraga
15-Mzamiru Yassin
16-Hassan Dilunga
17-Said Ndemla
18-Clatous Chama
19-Fransis Kahata
20-Larry Bwalya
21-Miraji Athumani
22-Ibrahim Ajibu
23-Luis Miquissone
24-Benard Morrison
Washambuliaji
25-John Bocco
26-Meddie Kagere
27-Charles Alanfya
28-Chris Mugalu
*Kuna pahala nimeikuta. Ila hiyo kesho ni leo kwa kua ni taarifa ya Jana.
Fraga yupo sana Msimbazi.
Kikosi cha SIMBA SC 2020/21
MAGOLIKIPA
1-Aishi Manula
2-Beno Kakolanya
3-Ally Salim
MABEKI
4-Shomary Kapombe
5-David Kameta Duchu
6-Mohamed Hussein
7-Gadiel Michael
8-Erasto Nyoni
9-Pascal Wawa
10-Kennedy Juma
11-Ibrahim Ame
12-Joash Onyango
VIUNGO
13-Jonas Mkude
14-Gerson Fraga
15-Mzamiru Yassin
16-Hassan Dilunga
17-Said Ndemla
18-Clatous Chama
19-Fransis Kahata
20-Larry Bwalya
21-Miraji Athumani
22-Ibrahim Ajibu
23-Luis Miquissone
24-Benard Morrison
WASHAMBULIAJI
25-John Bocco
26-Meddie Kagere
27-Charles Ilanfya
28-Chris Mugalu