Ronaldo amekuwa mshambuliaji hewa anatuchania mikeka kizembe sanaKila mwaka msimu wa usajili timu mbalimbali husajili wachezaji ili kuimalisha vikosi vyao, bahati mbaya baadhi ya timu husajili wachezaji ambao wanakuwa na mchango mdogo kwenye timu zao hivyo kuwa mzigo.
Wafuatao ni baadhi ya wachezaji ambao wamekuwa magarasa kwenye timu hizo.
Yanga
Makambo
Ninja
Ngushi
Yusuf Athuman
Simba
Wachezaji wote isipokuwa
Manula
Chama
Kanoute
Mkude
Kapombe
Tshabalala
Sakho
Inonga
Kened Juma
Singida
Amis Tambwe
Kagere
Kmc
Waziri Junior
Ihefu
Obrey Chirwa
Tshishimbi
Juma Nyoso
Never Tigere
Manchester United
Harry Miguire
Je unadhani ni mchezaji yupi ni garasa kwenye timu aliyopo?
Kila mwaka msimu wa usajili timu mbalimbali husajili wachezaji ili kuimalisha vikosi vyao, bahati mbaya baadhi ya timu husajili wachezaji ambao wanakuwa na mchango mdogo kwenye timu zao hivyo kuwa mzigo.
Wafuatao ni baadhi ya wachezaji ambao wamekuwa magarasa kwenye timu hizo.
Yanga
Makambo
Ninja
Ngushi
Yusuf Athuman
Simba
Wachezaji wote isipokuwa
Manula
Chama
Kanoute
Mkude
Kapombe
Tshabalala
Sakho
Inonga
Kened Juma
Singida
Amis Tambwe
Kagere
Kmc
Waziri Junior
Ihefu
Obrey Chirwa
Tshishimbi
Juma Nyoso
Never Tigere
Manchester United
Harry Miguire
Je unadhani ni mchezaji yupi ni garasa kwenye timu aliyopo?
Hao wazawa wanaweza kuendelea kubaki wajifunze. Nabi anamkubali sana Ngushi.Hapo kwenye Yanga, mpaka leo sijawahi kuelewa sababu ya kubakizwa Abdallah Shaibu 'Ninja' kwenye timu. Maana tayari timu ina mabeki zaidi ya watatu kwenye hiyo namba. Hivyo alitakiwa kuachwa, ili akatafute changamoto mpya mahali pengine.
Huyo Yusuph Athuman na Cryspin Ngushi nao wamethibitisha wao ni wachezaji wa timu ndogo. Herritiel Makambo, amepotezwa na Fiston Mayele. Hivyo asipokuwa makini, msimu ujao bye bye.
Mm napenda San kocha anaye watumia wachezaji wa ndani Safi nabiiHao wazawa wanaweza kuendelea kubaki wajifunze. Nabi anamkubali sana Ngushi.
Eti pamoja na OkrahKwamba Phiri ni garasa? Hakika wewe ni utopolo halisi na hauko makini na Uzi wako.