Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Nakumbuka kulikuwa na wakina sinama pongole, cisse, sissoko, riise, kama sija changanya madesa...Luis Garcia aliitolea jasho medali, Alikua ni moja kati ya Best players wa Liverpool kwenye yale mashindano. Mpe hashima yake.
Okocha hajawahi kuonesha uwezo wakustahiki kubeba Champion League
Michale Owen alipishana nayo kama alivyopishana nayo Coutinho
Cuenca BARCELONA [emoji736]
DEL PIERO JUVENTUS [emoji777]
Hatimae Thiago kashaipataJamie Carragher ana medali wakati Thiago Silva hana
Hatimae ameipataJamie Carragher ana medali wakati Thiago Silva hana
Chop MotingKuna wachezaji mashuhuri ambao hawajawahi kushinda Uefa Champions League (UCL). Mfano wao ni kama Buffon, Zlatan, Ronaldo De Lima, Michael Ballack, Michael Owen nk
Halafu kuna wachezaji ambao si maarufu lakini wameshinda medali za UCL. Leo tujikumbushe orodha ya wachezaji hao.
Mimi naanza na huyu Jeremy Mathieu.
Cc: FORTALEZA