Wachezaji hawa nao wana medali za dhahabu za UEFA Champions League

Wachezaji hawa nao wana medali za dhahabu za UEFA Champions League

Luis Garcia aliitolea jasho medali, Alikua ni moja kati ya Best players wa Liverpool kwenye yale mashindano. Mpe hashima yake.

Okocha hajawahi kuonesha uwezo wakustahiki kubeba Champion League
Nakumbuka kulikuwa na wakina sinama pongole, cisse, sissoko, riise, kama sija changanya madesa...

Kipindi ambacho kulikuwa na ulinganifu kati ya Gerrard na Lampard
 
Denis Bergkamp[emoji777]

Mark Anaurtovic[emoji736]
 
Yote 9 hayo lakini 10 ni pale Shadraq Mustafi ana World Cup wakati Riod Ferdinand, Nesta, Terry, Maldin, Stam, VVD, Messi, Ronaldo wote hawana.
 
Kuna wachezaji mashuhuri ambao hawajawahi kushinda Uefa Champions League (UCL). Mfano wao ni kama Buffon, Zlatan, Ronaldo De Lima, Michael Ballack, Michael Owen nk

Halafu kuna wachezaji ambao si maarufu lakini wameshinda medali za UCL. Leo tujikumbushe orodha ya wachezaji hao.
Mimi naanza na huyu Jeremy Mathieu.

Cc: FORTALEZA
Chop Moting
Eric Donald Mariga
 
Back
Top Bottom