Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Badala ya Aziz amweke MudadhirNamshauri kocha wa Stars maana Niger wanaweza kujiangusha kwa Uganda huko kwao ili kutukomoa kutokana na kitendo chetu cha Ball Boys kurusha hovyo mipira uwanjani ili kuchelewesha muda.
Mechi ijayo Stars wanatakiwa kupata sare tu ili waweze kufuzu bila kujali matokeo ya Niger vs Uganda, ni mchezo wa game plan yaani unashika bomba mwanzo hadi mwisho, huna sababu ya kumshambulia mwarabu kwao.
Nakushauri kocha siku hiyo weka watu hawa nyuma ambao kazi yao ni kukaba t mwanzo mwisho na kazi hiyo wanaiweza.
Beno Kakolanya, Shomary Kapombe, Novatus Dismas, Bacca, Mwamnyeto, Job, Aziz Andambwile, Sospeter Bajana, Kevin Nashon, Mzamiru, na Msuva
Utakuja kunishukuru
Labda mm sijui Mpira ila mm huwa sikuelewi Samata..kama jana afadhali Kibu D alikuwa anapambana ...jamaa alikuwa wa Baridiiii!Yan kikosi cha Taifa Stars kianze bila Samatta? Hiyo siku hakutakalika kunako ofisi zile maana nahisi jamaa ana hisa ndio maana panga pangua hakosekani
Samata anatoa mpunga tifutifuLabda mm sijui Mpira ila mm huwa sikuelewi Samata..kama jana afadhali Kibu D alikuwa anapambana ...jamaa alikuwa wa Baridiiii!
Ujuaji wa kijinga sana na hakuna wanachokijua.Ndio maana wewe hujawa kocha.
Watanzania mnajifanya mnajuaa
Na imelipaNamshauri kocha wa Stars maana Niger wanaweza kujiangusha kwa Uganda huko kwao ili kutukomoa kutokana na kitendo chetu cha Ball Boys kurusha hovyo mipira uwanjani ili kuchelewesha muda.
Mechi ijayo Stars wanatakiwa kupata sare tu ili waweze kufuzu bila kujali matokeo ya Niger vs Uganda, ni mchezo wa game plan yaani unashika bomba mwanzo hadi mwisho, huna sababu ya kumshambulia mwarabu kwao.
Nakushauri kocha siku hiyo weka watu hawa nyuma ambao kazi yao ni kukaba t mwanzo mwisho na kazi hiyo wanaiweza.
Beno Kakolanya, Shomary Kapombe, Novatus Dismas, Bacca, Mwamnyeto, Job, Aziz Andambwile, Sospeter Bajana, Kevin Nashon, Mzamiru, na Msuva
Utakuja kunishukuru
Nini Draw?Na imelipa
Hakuwepo na timu imefuzuYan kikosi cha Taifa Stars kianze bila Samatta? Hiyo siku hakutakalika kunako ofisi zile maana nahisi jamaa ana hisa ndio maana panga pangua hakosekani
bila majeraha angeforce acheze tuHakuwepo na timu imefuzu