Wachezaji hawa ndiyo wanaoweza kwenda Algeria kushikilia bomba dakika zote 90 na tukafuzu Afcon

Yan kikosi cha Taifa Stars kianze bila Samatta? Hiyo siku hakutakalika kunako ofisi zile maana nahisi jamaa ana hisa ndio maana panga pangua hakosekani
 
Namshauri kocha wa Stars maana Niger wanaweza kujiangusha kwa Uganda huko kwao ili kutukomoa kutokana na kitendo chetu cha Ball Boys kurusha hovyo mipira uwanjani ili kuchelewesha muda.

Mechi ijayo Stars wanatakiwa kupata sare tu ili waweze kufuzu bila kujali matokeo ya Niger vs Uganda, ni mchezo wa game plan yaani unashika bomba mwanzo hadi mwisho, huna sababu ya kumshambulia mwarabu kwao.

Nakushauri kocha siku hiyo weka watu hawa nyuma ambao kazi yao ni kukaba t mwanzo mwisho na kazi hiyo wanaiweza.

Beno Kakolanya, Shomary Kapombe, Novatus Dismas, Bacca, Mwamnyeto, Job, Aziz Andambwile, Sospeter Bajana, Kevin Nashon, Mzamiru, na Msuva

Utakuja kunishukuru
Badala ya Aziz amweke Mudadhir
 
Yan kikosi cha Taifa Stars kianze bila Samatta? Hiyo siku hakutakalika kunako ofisi zile maana nahisi jamaa ana hisa ndio maana panga pangua hakosekani
Labda mm sijui Mpira ila mm huwa sikuelewi Samata..kama jana afadhali Kibu D alikuwa anapambana ...jamaa alikuwa wa Baridiiii!
 
Taifa Stars hawana tofauti na gari linalo jiendea lenyewe bila ya dereva.

Yule kocha namuona kama chenga tu.
 
Namshauri kocha wa Stars maana Niger wanaweza kujiangusha kwa Uganda huko kwao ili kutukomoa kutokana na kitendo chetu cha Ball Boys kurusha hovyo mipira uwanjani ili kuchelewesha muda.

Mechi ijayo Stars wanatakiwa kupata sare tu ili waweze kufuzu bila kujali matokeo ya Niger vs Uganda, ni mchezo wa game plan yaani unashika bomba mwanzo hadi mwisho, huna sababu ya kumshambulia mwarabu kwao.

Nakushauri kocha siku hiyo weka watu hawa nyuma ambao kazi yao ni kukaba t mwanzo mwisho na kazi hiyo wanaiweza.

Beno Kakolanya, Shomary Kapombe, Novatus Dismas, Bacca, Mwamnyeto, Job, Aziz Andambwile, Sospeter Bajana, Kevin Nashon, Mzamiru, na Msuva

Utakuja kunishukuru
Na imelipa
 
Back
Top Bottom