Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Huyo jamaa sidhani kama anajua Hon.Andrew Chenge amewahi kuwa mtumishi wa serikali, na ni msomi mbobezi kutoka Harvard University (kusoma hapo si mchezo). Ila anajulikana pia kwa mambo ya ulimwengu usioonekana kirahisi.Unakuta jitu limezeeka mpaka unywele wa mgongo lakini lipo tu wakati vijana wapo na hawana kazi, ona sahizi walivyorudishana mpaka unashangaa hivi vibabu si vyakukaa nyumbani nakucheza na wajukuu?