Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Huyu tambwe alioa kabisa mbongoWako wengi tuu Amissi Tambwe obrey Chirwa, Hamisi Kiiza etc
Where far did you go at afcon ?Ligi kuu ya Tanzania ingekuwa bora ingereflect kwa performance ya timu yenu ya taifa coz I believe between 80%-90% of your national team comprises of your local league players. Huo ubora sasa ipo wapi wakati last time we meet we whooped your asses in Afcon?
Hahahaahha WTF[emoji1787][emoji1787]
Unataka waje kuishi Kenya Dada Zenu wanafanana na Babu zenu.Mnavyo waabudu na kuwababaikia unadhani watarudi kwao ghana ambako hata mtaani kwao hajulikani. Wameona mnapenda foreigners hasa mademu wa dar, sasa subirini wazalishe dada zenu.
Hao wameomba citizenship?Vipi kuhusu Onyango na Kahata, huko kwenu pia hawajulikani?, Waulize Uganda kuhusu Chris Mugalu na Zambia kuhusu Chota Chama, kule DRC waulize kuhusu Manyele ni wachezaji wa levels gani katika nchi zao?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwahio bila wachezaji kutoka ghana ligi haiwezi kua bora, he he. Haya mambo tulifanya kitambo sana na sio vitu vya kujisifu manake ni ushamba.Where far did you go at afcon ?
Why club zenu zisisajili wachezaji kutoka Ghana na nchi zingine ili iwe Bora kama tanzania?
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wameomba lakini wamekataliwaHao wameomba citizenship?
Kama hata pesa ya kuwalipa mishahara wachezaji wa ndani hakuna, vipi kuhusu wachezaji wa nje?[emoji23][emoji23]Kwahio bila wachezaji kutoka ghana ligi haiwezi kua bora, he he. Haya mambo tulifanya kitambo sana na sio vitu vya kujisifu manake ni ushamba.
Bunge la kenya ndo liliua mpira wakati waliongeza ushuru kwa betting companies lakini sahivi wameanza kurudi. Kando na uwanja wa benjamin mkapa, hio ligi bora afrika ina stadiums gani? [Emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama hata pesa ya kuwalipa mishahara wachezaji wa ndani hakuna, vipi kuhusu wachezaji wa nje?[emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe ni kama huelewi maswala ya soka. Umekuja tu ilimradi uchangie. Kuna kitu kwa kandanda kinaitwa rivalry. It doesn't matter how long you go as long as you've beaten your rival in a football match/league. Kule Uingereza, Arsenal na Tottenham Hotspur are sworn rivals. As long as Arsenal finishes above Spurs, that's an achievement enough for them and vice versa.Where far did you go at afcon ?
Why club zenu zisisajili wachezaji kutoka Ghana na nchi zingine ili iwe Bora kama tanzania?
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app