Wachezaji Mashuhuri toka Ghana wagoma kuondoka Tanzania baada ya mikataba Yao kumalizika, waomba uraia

Wachezaji Mashuhuri toka Ghana wagoma kuondoka Tanzania baada ya mikataba Yao kumalizika, waomba uraia

Ligi kuu ya Tanzania ingekuwa bora ingereflect kwa performance ya timu yenu ya taifa coz I believe between 80%-90% of your national team comprises of your local league players. Huo ubora sasa ipo wapi wakati last time we meet we whooped your asses in Afcon?
Where far did you go at afcon ?

Why club zenu zisisajili wachezaji kutoka Ghana na nchi zingine ili iwe Bora kama tanzania?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mnavyo waabudu na kuwababaikia unadhani watarudi kwao ghana ambako hata mtaani kwao hajulikani. Wameona mnapenda foreigners hasa mademu wa dar, sasa subirini wazalishe dada zenu.
Unataka waje kuishi Kenya Dada Zenu wanafanana na Babu zenu.

Kenya unaweza kukuta wewe WA kiume ni mzuri kuliko Dada au Mama Yako. Sura za Dada zenu ni kama Wanamgambo WA Janjaweed kule Sudan

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
mi nafkiri amwage wino Mbea kwanza hiyo ndo njia rahisi ya kubaki bongo...
 
Where far did you go at afcon ?

Why club zenu zisisajili wachezaji kutoka Ghana na nchi zingine ili iwe Bora kama tanzania?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwahio bila wachezaji kutoka ghana ligi haiwezi kua bora, he he. Haya mambo tulifanya kitambo sana na sio vitu vya kujisifu manake ni ushamba.
 
Kwahio bila wachezaji kutoka ghana ligi haiwezi kua bora, he he. Haya mambo tulifanya kitambo sana na sio vitu vya kujisifu manake ni ushamba.
Kama hata pesa ya kuwalipa mishahara wachezaji wa ndani hakuna, vipi kuhusu wachezaji wa nje?[emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kama hata pesa ya kuwalipa mishahara wachezaji wa ndani hakuna, vipi kuhusu wachezaji wa nje?[emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Bunge la kenya ndo liliua mpira wakati waliongeza ushuru kwa betting companies lakini sahivi wameanza kurudi. Kando na uwanja wa benjamin mkapa, hio ligi bora afrika ina stadiums gani? [Emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Where far did you go at afcon ?

Why club zenu zisisajili wachezaji kutoka Ghana na nchi zingine ili iwe Bora kama tanzania?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wewe ni kama huelewi maswala ya soka. Umekuja tu ilimradi uchangie. Kuna kitu kwa kandanda kinaitwa rivalry. It doesn't matter how long you go as long as you've beaten your rival in a football match/league. Kule Uingereza, Arsenal na Tottenham Hotspur are sworn rivals. As long as Arsenal finishes above Spurs, that's an achievement enough for them and vice versa.

Hata huko Afcon, muhimu ni kwamba tuliwanyorosha. At the end of the day, there was only one winner kati ya mataifa yote yaliyoshiriki.

Clubs sign players not to make a certain league better but to strengthen themselves. Manchester United inaposajili mchezaji, haifanyi hivyo ili kuboresha ligi ya Uingereza. Inafanya hivyo ili kujiboresha kama kilabu. In fact, ligi nyingi zimeweka sheria zinazowekea vilabu 'quota' on foreign players ili kukuza local talent. Wewe kandanda hukielewi, nenda kanywe konyagi zako leo ni wikendi!
 
Back
Top Bottom