Wachezaji Mashuhuri toka Ghana wagoma kuondoka Tanzania baada ya mikataba Yao kumalizika, waomba uraia

Mnavyo waabudu na kuwababaikia unadhani watarudi kwao ghana ambako hata mtaani kwao hajulikani. Wameona mnapenda foreigners hasa mademu wa dar, sasa subirini wazalishe dada zenu.
 
England hawako vibaya hivo. Wanarank no. 5 kwa fifa ranking...nyinyi na ligi yenu "Bora" mnarank 132 na hampo hata top 30 in Africa
Huna akili ndio maana unashindwa kuelewa nnachomaanisha, Wakenya wengi hamna akili, England ina moja kati ya ligi bora duniani lkn fainali tu ya Euro kwa mara ya kwanza wameingia juzi tu hapa achilia mbali kukosa rekodi ya kubeba makombe, TPL ndio ligi bora ukanda huu ukitoa Congo utake usitake.
 
Hahahaha, Sasa unapingana na CAF wanaoitaja ligi ya Tanzania kuwa mamba 10 Afrika nzima?.

Hivi Kati ya Uingereza na Brazili ipi ni ligi Bora zaidi?, Ipi yenye timu Bora ya Taifa Kati ya Uingereza na Brazil?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Most The Three Lions players play in the English Premier League, unlike Brazil where most players of the national team play in foreign European leagues. These two teams still rank higher in FIFA rankings despite the difference in national team composition. While one doesn't have a popular league, the other one has the most popular league in the world and this is reflected in its national team performance.

Nyinyi wachezaji wenu wengi wanacheza kwenye hiyo ligi yenu mnayosifia but perfomance ya timu yenu ya taifa ni hovyo. Sasa ubora wake iko wapi?
 
Kwahiyo CAF wanaongopa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnavyo waabudu na kuwababaikia unadhani watarudi kwao ghana ambako hata mtaani kwao hajulikani. Wameona mnapenda foreigners hasa mademu wa dar, sasa subirini wazalishe dada zenu.
I already told them this. Wanashabikia watu ambao wakirudi kwao Ghana hawatambuliki hata vijijini kwao wanakotoka. These Ghanaians have even played in our league but we didn't even make noise about it coz we know they are some unheard of names in their countries of origin. Watu ambao even Ghanaians themselves don't know a thing about them
 
Alafu timu zao mbili yanga na simba sponsor ni sportpesa[emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
England hawako vibaya hivo. Wanarank no. 5 kwa fifa ranking...nyinyi na ligi yenu "Bora" mnarank 132 na hampo hata top 30 in Africa
Yani we even rank above them in FIFA and they are here making noise about a shitty league
 
I already told them this. Wanashabikia watu ambao wakirudi kwao Ghana hawatambuliki hata vijijini kwao wanakotoka. These Ghanaians have even played in our league but we didn't even make noise about it coz we know they are some unheard of names in their countries of origin. Watu ambao even Ghanaians themselves don't know a thing about them
Hio squad yote ya simba na yanga at one time walicheza kpl lakini hakuna airtime tuliwapa, lakini huko Dar ndio maceleb wanawakuliwa dada zao, hata mimi ntaomba citizenship.
 
Mwenye thread kakimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
England pia wana ligi bora duniani, huna hoja kaa kimya.
Yes, wanna ligi bora duniani and this is reflected in their national team performance and ranking. England national team is currently ranked number five in the world. Nyinyi mpo ranked number ngapi na hiyo ligi yenu "bora"?😂😂
 
Mnavyo waabudu na kuwababaikia unadhani watarudi kwao ghana ambako hata mtaani kwao hajulikani. Wameona mnapenda foreigners hasa mademu wa dar, sasa subirini wazalishe dada zenu.
Vipi kuhusu Onyango na Kahata, huko kwenu pia hawajulikani?, Waulize Uganda kuhusu Chris Mugalu na Zambia kuhusu Chota Chama, kule DRC waulize kuhusu Manyele ni wachezaji wa levels gani katika nchi zao?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Vipi kuhusu Onyango na Kahata, huko kwenu pia hawajulikani?, Waulize Uganda kuhusu Chris Mugalu na Zambia kuhusu Chota Chama, kule DRC waulize kuhusu Manyele ni wachezaji wa levels gani katika nchi zao?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Huyu wa Ug pia hajulikani! [emoji23][emoji23][emoji23]

Most The Three Lions players play in the English Premier League, unlike Brazil where most players of the national team play in foreign European leagues. These two teams still rank higher in FIFA rankings despite the difference in national team composition. While one doesn't have a popular league, the other one has the most popular league in the world and this is reflected in its national team performance.

Nyinyi wachezaji wenu wengi wanacheza kwenye hiyo ligi yenu mnayosifia but perfomance ya timu yenu ya taifa ni hovyo. Sasa ubora wake iko wapi?
Hujui unalozungumza Kama kawaida yenu kujifanya wajuaji, wachezaji wote Bora toka Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Zambia huchezea ligi ya Tanzania.

Back
Top Bottom