choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Sisi hatulaumu waamuzi kama ninyi,Bado hamjasema, na mtasema, yaani mpaka mseme, yaani bado
Mayele yuleeee...anamzum tu mshindani wake wa magoli 2022/2023 NBC PL Bongo, kweli kwenye maisha lilia bahati tu wala si uwezo na juhudi binafsi [emoji4]Saido unakosaje goli pale
Na vipi kuhusu kocha! Tumuache huyu huyu Robertinho? Au tumrudishe Juma Mgunda?1. Kibu Denis
2.Saido Ntibazonkiza
3. Chemalone
4. Henock Inonga
5. Onana
6. Zimbwe
7.Mzamiru
Chama naye anaelekea huko.
Kocha alishawakanda mara mbili, hata tarehe 5 atawakanda, ila haiondoi kuwa hao wachezaji tajwa ni mizigoNa vipi kuhusu kocha! Tumuache huyu huyu Robertinho? Au tumrudishe Juma Mgunda?
Kumbuka pia tarehe 5 Novemba siyo mbali!!
Wanuka kinyesi fcShanga fc
Mwiko nyuma fc
cHawote fc
Mwajuma ndala ndefu fc
Mwajuma nipe fc
Manyani fc
Mambwa fc
Kangamoko fc
Utopolo fc
Vyura fc
Bakuli fc
Wa mchangani fc
Mashabiki siku zote huwa hamjui mnachokitaka, Pablo aliwahi kufanya kitu kama hiko mkapiga kelele kwamba hana first elevenJaribuni kuplan rotation nzuri ya wachezaji kung'ang'ana na wachezaji flani lazima waanze aka first eleven never change itawagharim..eti lazima kibu aanze Kila game. Subirin trh 5 tunajipigia TU[emoji1787]
Mmeanza. Hapa mnaandaa mazingira ya kuwatimua mkifungwa tarehe 5 Novemba 20231. Kibu Denis
2.Saido Ntibazonkiza
3. Chemalone
4. Henock Inonga
5. Onana
6. Zimbwe
7.Mzamiru
Chama naye anaelekea huko.