Wachezaji Mizigo Simba

Wachezaji Mizigo Simba

Na vipi kuhusu kocha! Tumuache huyu huyu Robertinho? Au tumrudishe Juma Mgunda?

Kumbuka pia tarehe 5 Novemba siyo mbali!!
Kocha alishawakanda mara mbili, hata tarehe 5 atawakanda, ila haiondoi kuwa hao wachezaji tajwa ni mizigo
 
Jaribuni kuplan rotation nzuri ya wachezaji kung'ang'ana na wachezaji flani lazima waanze aka first eleven never change itawagharim..eti lazima kibu aanze Kila game. Subirin trh 5 tunajipigia TU🤣
 
Kelele zote hizi zitaisha baada ya derby ya jumapili

Ndio mtajua hamjui
Simba guvu moya
 
Jaribuni kuplan rotation nzuri ya wachezaji kung'ang'ana na wachezaji flani lazima waanze aka first eleven never change itawagharim..eti lazima kibu aanze Kila game. Subirin trh 5 tunajipigia TU[emoji1787]
Mashabiki siku zote huwa hamjui mnachokitaka, Pablo aliwahi kufanya kitu kama hiko mkapiga kelele kwamba hana first eleven
 
Back
Top Bottom