Wachezaji nane wa Al Merrikh wakutwa na Corona. Wenyewe wadai kuhujumiwa

Wachezaji nane wa Al Merrikh wakutwa na Corona. Wenyewe wadai kuhujumiwa

Pununkila

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2021
Posts
689
Reaction score
1,706
Muda mfupi kabla ya mpira kuanza, ripoti ya Corona imeonesha wachezaji nane wa Al MERRIKH ya Sudan wana maambukizi ya virusi vya Corona.

Kupitia ukurasa rasmi wa Istagram wa Al Merrikh umeripoti kuwa wanaamini ni mpango wa kuwadhoofisha ambao umechezwa jambo ambalo limewafanya wapeleke file hilo mbele Umoja wa Afrika, (AU).

Taarifa zinaeleza kuwa wamepewa matokeo hayo saa moja kabla ya mchezo wa leo ambao unachezwa Uwanja wa Mkapa.

Miongoni mwa wachezaji ambao wametajwa kuwa na Corona ni Abdul Rahman Karngou, Altaj Yaqoub, Bhakit Khamis, Ramadan Ajab, Tony, Bakir Al Madina, Saif Al-Damazin, Emad Abdul-Manim.
 
Wengo sana
Simba plse msije mkawa mmeweka mkono wenu!
Mwishowe mtakosa vyote
 
Simba kama wamehusika kwenye hizi figisi watajilaumu sana maana itawacost vibaya mno. Wamezidisha mno angalau wangefanya wachazaji watatu au wawili.
 
Back
Top Bottom