Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Msalimie na Shadeeya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msalimie na Shadeeya
SAWAMsalimie na Shadeeya
Akikujibu ni tag pleaseSimba ndio anapima?
Simba ndio anapima?Simba kama wamehusika kwenye hizi figisi watajilaumu sana maana itawacost vibaya mno. Wamezidisha mno angalau wangefanya wachazaji watatu au wawili.
Watu wasijifanye wasahaulifu. Hawa Al Merrikh (wengine wanawaita El Mereikh) walikuwa na wachezaji watano wagonjwa wa corona katika mechi ya kwanza ya tarehe 6/03/2021 iliyochezwa kwao na vipimo vilivyochukuliwa kwao huko huko...
We bora ukaage kimya hata hujui kituFigisu zimeanza
el merikh ndio wametoa hizo taarifa za kubambikiwa corona kupitia official page yao ya clubUnahangaika na utopolo tu mkuu.Unadhani El -Mereikh wanalalamika basi?
Ni wachambuzi maandazi wanazi wa utopolo wanatafuta sehemu ya kujifichia...
Ina maana kuwa walijihujumu hata nyumbani kwao kwa kuwakuta wachezaji wao wana coronael merikh ndio wametoa hizo taarifa za kubambikiwa corona kupitia official page yao ya club
Walipimwa na CAF?Labda CAF ndio wafanye figisu, maana Simba haihusiki na upimaji
Lete hiyo official pageel merikh ndio wametoa hizo taarifa za kubambikiwa corona kupitia official page yao ya club
Ulitakiwa ujue hilo hata kabla haujaingia kwenye mjadalaWalipimwa na CAF?
Hapana ni MwakalebelaWalipimwa na CAF?
Ikiwa Al Ahly amepigwa bila hujuma.. wao wafanyiwe hujuma kwa timu ipi?Merreikh wasitafute mchawi, hao wachezaji wao hata kule Sudan wapo waliokutwa na Corona na hawakucheza, na wanaopima Corona ni madaktari wa CAF sio wa nchi husika inapochezwa mechi, watulie wajenge timu, Simba SC kwasasa imewekeza uwanjani vizuri sana ndio maana inavuna matunda ya uwekezaji huo.