Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Libya kama kawaida yao, wamewalaza wachezaji wa timu ya taifa, Nigeria Uwanja wa Ndege kwa zaidi ya saa 12 bila chakula wala vinywaji, wakaona haitoshi wamewapa Hiace (basi dogo) kuchukua timu nzima kuwapeleka Hotelini.
Wachezaji wa Super Eagles wamejawa hasira kutokana na hali hii, wakitishia kususia mechi yao ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika.
“Nimekuwa uwanjani wa ndege kwa karibu masaa 13, bila chakula, bila wifi, na mahali pa kulala. Afrika, tunaweza kufanya bora zaidi,” alisema Boniface.
NOTE: Libya wa wamelipa kisasi kwani na wao waliwahi pitia madhra kama hayo nchini Nigeria