Wachezaji timu ya Yanga wagoma kufanya mazoezi

Wachezaji timu ya Yanga wagoma kufanya mazoezi

Wacheze chini ya kiwango walau mechi mbili tu ndo jambo la msingi....bila shaka watapata noti zao

Bwihi.. Bwihi..!
 
Mshamlipa Kaduguda pesa za chapati alizowakopesha maana sio zake ni za mkewe
Tumeshamlipa. Umeshakwenda kupiga magoti.? Wenzako wameshakusanyika klabu unangojewa wewe tu.Mazoezi ya kupiga magoti karibu yataanza. Mzee Rashid Matunda alichangangisha maharage na unga wachezaji wale. Sijui safari hii mtachangisha nini?Bora mpige magoti.
 
wafanye kama kuachia gemu mbili hvi... watani tutawapendajeeee
392626.jpg
 
Back
Top Bottom